Wakuu kuna hili jambo linanitatiza sana jee ni kweli kwamba maharage ya njano ni GMO?
Maana nimesikia watu wakisema hivyo na kudai haya maharage hayakuwapo kabla
Wengine wanadai yanaleta sukari na cancer
Jee ni kweli kuwa maharage ya njano ni GMO?View attachment 1228664
Utakufa tu Hata ukifanyeje....Binafsi nakulaga haragwe jekundu halisi na ndiyo huwa linaongoza kwa proteins za kutosha ukitoa soya katika vyakula vya mbegu mbegu
Mungu kukupatia akili za kujua mema na mabaya na hakukwambia ukajilaze juu ya reli ili treni ikipita ukukanyage na kukuua sababu kufa ni lazima, ondokwa na huo upumbavu ili ufaidi mema ya nchiUtakufa tu Hata ukifanyeje....
Sio kweli. Kwasabb mimea jamii ya kunde protein na iron ya kutosha kupatikana kwenye soya na mimea jamii yake. Kwenye jamii ya maharage basi mekundu yake kadai red wala sio nutritive kama nyekundu Ile ya mviringo kama belabela.Binafsi nakulaga haragwe jekundu halisi na ndiyo huwa linaongoza kwa proteins za kutosha ukitoa soya katika vyakula vya mbegu mbegu
Sawa MkuuMungu kukupatia akili za kujua mema na mabaya na hakukwambia ukajilaze juu ya reli ili treni ikipita ukukanyage na kukuua sababu kufa ni lazima, ondokwa na huo upumbavu ili ufaidi mema ya nchi
Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichagaMungu kukupatia akili za kujua mema na mabaya na hakukwambia ukajilaze juu ya reli ili treni ikipita ukukanyage na kukuua sababu kufa ni lazima, ondokwa na huo upumbavu ili ufaidi mema ya nchi
Sio kweli. Kwasabb mimea jamii ya kunde protein na iron ya kutosha kupatikana kwenye soya na mimea jamii yake. Kwenye jamii ya maharage basi mekundu yake kadai red wala sio nutritive kama nyekundu Ile ya mviringo kama belabela.
Maharage soya ya kijivu ( local name) pamoja na haya ya njano yaan protein kiasi sema yamezidi madini ya zink
Asante, hayo nisemayo mimi ni ni mekundu kabisa na huchukua masaa matatu hivi kuiva na hata uyaunge kwa kitunguu pekee hakika utaenjoy sana ladha yake.Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Ni yale marefu mekundu? Ama mafupi? Ama yale yenye umbo kama njugu mawe lkn mekundu sana?Asante, hayo nisemayo mimi ni ni mekundu kabisa na huchukua masaa matatu hivi kuiva na hata uyaunge kwa kitunguu pekee hakika utaenjoy sana ladha yake.
Nndede den ,nkwashihroo kwaasha den mbe......nkanamuna,,,kibulu...kiumbw3eeHapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Uwiiìi Kibo Kya ndesi naa nrondo!!!!!Nndede den ,nkwashihroo kwaasha den mbe......nkanamuna,,,kibulu...kiumbw3ee