ni kweli bibie King'asti Ngojea tumpe Mkuu Moderator Paw mke wa pili atafurahi na ngoma ya Ki-Maharage Ethiopian Woman.Huyu sijui nimuombe paw amuwowe mke wa pili? Si nitapata dhawabu sheikh MziziMkavu?
Unaweza ukajikuta unabadilisha dini ili ujipatie mke wa pili!Huyu sijui nimuombe paw amuwowe mke wa pili? Si nitapata dhawabu sheikh MziziMkavu?
Duh!hilo nilikuwa silijui,hiyo kitu ndiyo ya msingi sana kuliko hata huo uzuri wao,hapo wameharibu kila kitu!
Mkuu umegusa mahali pake kabisa,hongera sana!
Basi Mkuu Tee Bag huyu atakuwa mchumba wako hongera.Mkuu MziziMkavu hawa uliowataja wrote wana wenza kasoro Mimi tu, kwa nn uwape wa pili wakati mm hata huyo mmoja sina? unañitenga