JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 6,835
- 14,213
Serikalini kumejaa madudu Mengi,uvivu,ubadhirifu,mijitu inataka ilipwe bila kufanya kazi,watumishi wa serikali huwa wanaona wao kuwa kwenye hizo nafasi ni hisani kwa nchi na wananchi,tunataka tuwaambie wao ndio wanahitaji serikali na umma kuliko sie wananchi tunavyowahitaji,Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?
Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.
Matokeo ya cronyism ndio haya: Chande hana background au experience ya utumishi wa umma, wala kazi za shirika la nishati wala shirika la fani yeyote lenye ukubwa na ugumu wa uendeshaji kama TANESCO. Ametokea DSTV na kabla ya hapo Vodacom.
Kituko cha kwanza cha Chande alikitoa kwenye hotuba yake ya utambulisho mbele ya hadhara, waandishi, wateule wenzie wapya pamoja na Waziri.
Akasema anataka PAY-FOR-PERFOMANCE, mfumo wa ulipaji kulingana na ufanisi kiutendaji. Toka lini kwenye public sector mtu analipwa tofauti na salary scale yake ??? Huyu jamaa hana clue na mifumo ya ujira za utumishi wa umma. Speech yake ya kwanza anatueleza ndoto za Alinacha za jinsi watakavyolipana badala ya matatizo ya upatikanaji umeme wa uhakika.
Tunaomba January Makamba ujali na uwe serious na kazi yako. Tunajua huna sana uchungu na wananchi na kuhuwahi kusota kupata kazi hizi kwa vile ulibebwa na majina ya baba zako Yusufu (nepotism) na Jakaya (cronyism), na siku zote vyeo vimekuwa vikikujia, kuondoka na kurudi kirahisi rahisi. Jisafishe, tunaomba uanze kujali.
Sasa tunawapa watu kutoka sekta binafsi wawachape bakora mtoke usingizini muache kujiona kama kufanya kazi mnaifanyia favour nchi,tupo watu millioni 65!!watumishi serikalini kuanzia Ikulu,taasisi zote mpaka vijijini hawafiki milioni Tano!?so who needs the other more!?!??