Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 384
- 782
- Thread starter
- #81
tuonyeshe wapi imeandikwa
3.3 Wasioruhusiwa Kuajiriwa katika Utumishi wa Umma Kanuni ya 17 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 huainisha watu wasioruhusiwa kuajiriwa katika Utumishi wa Umma. Watu hao ni:-
Mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa kwa kosa la jinai linalohusu upotofu wa kimaadili au rushwa.
Mtumishi ambaye tayari amefukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
Mtumishi aliyestaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma.
Asiyekuwa na sifa zilizopo kwenye muundo wa utumishi wa mtumishi husika.
Aliyethibitika kuwa hana akili timamu na,
Asiye raia wa Tanzania.
Acha kukariri.
Ukiingia kwenye utumishi wa umma baada ya miaka 45 unavunja taratibu na sheria za hifadhi za jamii, mafao na pensheni.
Maharage pia anakosa sifa za kukabidhiwa shirika kubwa kuliko yote nchini Tanzania. DSTV haifanani na TANESCO.
Pia inabidi akafundishwe from scratch, kuanzia mwanzo kabisa kuhusu tamaduni, taratibu, kanuni na sheria za utumishi wa Umma. He is a project in developmemt.
Maharage Chande mpaka leo hajui kwamba serikalini hakuna bajeti ya kumlipa mtu Pay-for-Performance. Hajui salary scale ni kitu gani. Aliongea vituko siku anatambulishwa.