Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

Nilikuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa ttcl ila nimewahama nimerudi Vodacom.

Natumaini DG Maharage atanifanya nirudi tena ttcl.

DStv aliwaacha wakiwa imara na bado wapo imara na ninaendelea kuwa mtumiaji wa dstv
 
Ttcl ni fuvu tu...
 
Nchi ya kusadikika hii

Uswahili unakusumbua 😕waswahili bwana mna shida Sana

Eti minister wa foreign affairs kwani ndio inabadilisha uswahili wako....unajulikana kwa mipasho na taarabu mwanaune wewe mchora vikatuni vya mafumbo Leo hii unataka kujifanya huna feki Id😕😕😕 hatujasahau

Minister of foreign affair ulitaka kumuingiza mwinyi kwenye saga zako mpaka mzee wa watu akatamka maji yalokorogeka ukaamuliwa ufute na picha mswahili bwana

Minister of foreign affairs my foot😕
 
Kwa leo inatosha.

Fake ID mnajua nyie vijana, sisi tuko humu ndani wakati hujaota hata mavuzi. 😁😁


Fungua thread nyingine ya Kipara tutaendelea.
 
Kwa leo inatosha.

Fake ID mnajua nyie vijana, sisi tuko humu ndani wakati hujaota hata mavuzi. 😁😁


Fungua thread nyingine ya Kipara tutaendelea
Huna hadhi ya kufunguliwa thread utakula za uso kwenye comment kama hivi

Usiache kutuma video za kazi zako za kupokea wageni hapo mambo nje

Aibu umeliacha Taifa gizani😕

Waziri wa Nishati wa kwanza kufeli vibaya tangu Uhuru mpaka kupelekea Mkurugenzi na Mwenyekiti wa bodi TANESCO kubadilishwa

Shame on you
 
DR. KIMEI ALIPEWA CRDB IKIWA TAABANI ZAIDI YA TTCL LAKINI AKAINYANYUA NA KUIFANYA YA MFANO WA KUIGWA, HAYA NDIYO TUNATAKA, KAYAFANYE MAAJABU HAYA HUKO TTCL KILA LA HERI.
 
Huna nashangaa sana kuona viongozi wanahamishwa hamishwa, alfu anayewahamisha utamsikia anasema vijana mjiajiri
 
TANESCO imemshinda mchana kweupe na aliikuta ikiwa imara TTCL iliyoshindikana ataiweza? Jina tu linamshitaki. Huko DSTV mtakuwa mnamsifu bure. Kuna wenyewe na yeye alikuwa remote tu. Hizi za TTCL na TANESCO zinataka kina Kalemani.
 
Hata kama wewe siyo Makamba ila kwa namna ulivyoumizwa kwa Makamba kuondolewa nishati utakuwa ni ndugu au mshirika wa karibu sana. Yaani wewe ni mnufaika au CHAWA mwenye kitambi wa uchafu wa Makamba
 
Simfahamu huyu kijana lakini nakuunga mkono kuwa sasa kapewa kazi inayoendana na taaluma yake tofauti na Tanesco. Zamani Tanesco ilikuwa inaongozwa na mtu ambaye ana uwezo,upeo na heshima ya kuwa Waziri.Bila shaka mnakumbuka Jerry Kasambala.Hao walikuwa watu ambao maamuzi yao yalikuwa si ya kutilia mashaka. Aidha ikumbukwe kuwa, kuwa CEO wa TTCL hakumpi Maharage madaraka kuiendesha kwa mujibu wa taaluma peke yake. Inategenea amekwenda wizara inayosimamiwa na Waziri yupi, mwenye uzoefu na upeo upi. Hicho nacho ni kizingiti kikubwa tu ambacho kimesababisha mawazo mazuri ya maendeleo kutopata uungwaji wa kisiasa!
 
Aiendeshe ttcl kama alivyokuwa anaiendesha dstv

Ova
Business modal ya DSTv iligomaje TANESCO?! Ukute huko DStv alikuwa anapokea maelekezo kutoka kwa watendaji vichwa, kazi yake ilikuwa kutelekeza tu.
 
DR. KIMEI ALIPEWA CRDB IKIWA TAABANI ZAIDI YA TTCL LAKINI AKAINYANYUA NA KUIFANYA YA MFANO WA KUIGWA, HAYA NDIYO TUNATAKA, KAYAFANYE MAAJABU HAYA HUKO TTCL KILA LA HERI.
Ni matumaini yangu unafahamu unachozungumzia, hususan kitu kilichokuwa nyuma wakati wa kuianzisha CRDB ya sasa na kufanikiwa. Ule msukomo ulipopungua,CRDB ilianza kuwa kama Shirika lingine la mtaani hata kabla Kimei hajatoka. Bahati tu kuwa linashughulikia fedha! "hot cake stock" Tusifanye usanii kwenye masuala mazito.
 
Hawezi kufanikiwa kwenye internet maana kuna waziri mmoja ana shirikiana na mitandao kutuibia watumia internet .. hii nchi imejaa wezi kila upande.
Hivi shida ya TTCL ni internet tuu?; Naona humu ndani wengi wenu ombi lenu kwa Maharagwe ni kupunguziwa gharama ya internet bundles. Real?!
 
Ikiwezekana wanze kuuza gb 5 kwa buku tu 🤣🤣😁
 
Huko TTCL Ni pagumu sana maana TTCL wakibadilika wakafanya vizuri hizi kampuni nyingine zinafunga virago asubuhi...vita anayoenda kukutana nayo ni kubwa sana na kubaya zaidi vita yenyewe adui yupo ndani na nje ya taasisi.
 
Huko TTCL Ni pagumu sana maana TTCL wakibadilika wakafanya vizuri hizi kampuni nyingine zinafunga virago asubuhi...vita anayoenda kukutana nayo ni kubwa sana na kubaya zaidi vita yenyewe adui yupo ndani na nje ya taasisi.
Ni nape na vibaraka wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…