Unampongeza UJINGA tu. Maharage ni failure na huko anakwenda kuitupa kaburini TTCL ambayo ilikuwa mortuaryBwana Chande,
Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.
Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.
Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.
Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.
Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.
Mtu huyu anatakiwa kuwa JELA,Bwana Chande,

Bwana Chande,

Nashangaa sana watu wanambeza na kumtukana,jamaa wakiwa na Makamba wamefanya mambo makubwa Tanesco ila kwa kuwa watu wana chuki na visasi vyao wanaamua kuwachafua watu.Maharage chande amejitahidi sana kwenye huduma kwa wateja Tanesco.
Kipindi chake alianzisha utaratibu wa kutumia call centre kueleza shida yako na kupewa namba.
Ambayo haizidi siku tatu tu. Tanesco wanafika nyumbani kwako kutatua tatizo
Wamefanya kipi cha maana??? Acha hizo. Ingekuwa wamefanya la maana mbona wameondolewa wote?? Hahahaaaa
Wamefeli kukutia mimba au? 😅😅Unampongeza UJINGA tu. Maharage ni failure na huko anakwenda kuitupa kaburini TTCL ambayo ilikuwa mortuary
Hawa Makamba na Maharage wasingekuwa wana connections za wazazi wao basi tungekuwa nao mitaani au wangekuwa wanasota na kujibu hoja za TAKUKURU.
ANYWAY tusubiri CAG report zijazo tutarudi hapa tena
Tutulie muda utaongea. Tuwe subraKuondolewa ama kuhamishwa.
Inawezekana wamehamishwa ili akaibadilishe ttcl kama alivyoibadilisha tanesco.
Hata magufuli akiwa waziri alihamishwa wizara ya ujenzi na kupelekwa uvuvi.
Kuhamishwa kazini ni tofauti na kuondolewa kazini
Maana vyeo vyao ni vile vile vya levo ya juu tu kila wanapohamishiwa
Wanataka TTCL ibaki na mkongo ili service providers wengine wa masuala ya simu wawe na amani!!!Ameshindwa umeme ndiyo ataweza huko wanakosoma kwa binary digits
Iliyumba mpaka Azam akaipiku DSTV! JokesAiendeshe ttcl kama alivyokuwa anaiendesha dstv
Ova
Waruhusu Star Link ndiyo mwisho wa matatizoWanataka TTCL ibaki na mkonga ili service providers wengine wa masuala ya simu wawe na amani!!!
Hawezi kufanikiwa kwenye internet maana kuna waziri mmoja ana shirikiana na mitandao kutuibia watumia internet .. hii nchi imejaa wezi kila upande.Bwana Chande,
Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.
Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.
Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.
Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.
Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Maharage Chande ni moja kati ya visionary leader na rekodi zinambeba. Tangu akiw Vodacom,NBC na DSTV. Very unfortunate kwa TANESCO it didn't work that good. Labda alihitaji muda zaidi ila the public outcry ya power outing ilihitaji immediate attention. Jambo ambalo alishindwa nikutokakuwa na mipango ya muda mfupi kati na mrefu ili kuondoa hii shida.Maharage chande amejitahidi sana kwenye huduma kwa wateja Tanesco.