Mahali wanapofanya massage Arusha ni wapi?

Sikushauri kwenda BIG L, nakumbuka nilijikuta navaa nguo zangu kabla ya massage kuisha yule mdaa mtata sana bana....Complex wako serious na kazi yao.
 
Sikushauri kwenda BIG L, nakumbuka nilijikuta navaa nguo zangu kabla ya massage kuisha yule mdaa mtata sana bana....Complex wako serious na kazi yao.

Alifanyaje mkuu, yasije yakatukuta tutakaoenda na uzee huu
 
tatizo utakuwa uitaka akupe umalize na ile raha ya mwisho kabisa wakati sio makubaliano.

Sikushauri kwenda BIG L, nakumbuka nilijikuta navaa nguo zangu kabla ya massage kuisha yule mdaa mtata sana bana....Complex wako serious na kazi yao.
 
Nenda Palace Hotel opposite office ya mkuu wa mkoa Arusha kuna mrembo wa ukweli lakini ukimaliza massage usiombe number ya simu.

Wanafanya bei gani...
 
Big L-florida
Njiro Complex-Njiro
Kuna moja ipo opposite na Cultural Heritage(njia ya kisongo)

Hiyo ya opposite na Cultural Heritage(njia ya kisongo) inaitwa COFFEE LODGE
 
Nipo maeneo ya soko mjinga nikitoka niwasili hapo........huyo bibi anauza pombe gani ya kienyeji rahisi kumpata

Viroba tu ndo vinatoka sana huku.
Ukifika nyuma ya kina setaaaa mbele ya ule uwanja wa shule nipigie nikupeleke.
 
Nenda Asamba Fitness Center Moshono kuna ceragem massager bei nafuu.
 
Big L ndo mpango mzima,
Ipo karibu na roundabout ya Florida, Karibu na Selian hospital
Warekebishe watu nawe jirekebishe pia. Hospital ya Selian iko ngaramtoni na
Hii hospital hapa op na silve palm hotel sio Seliani kama wewe na wengineo mnavyoiita inaitwa A.L.M.C kirefu chake ni Arusha Lutheran Medical Centre.
sambaza ujumbe na kwa wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…