Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

Mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi

Kama una mtaji wa kutosha nenda Kibondo soko la ujirani kuna mbuzi wengi wanakosa wanunuzi.

Kama umewania kufanya biashara hiyo, karibu PM kwa details kamili na contact person. 🙏
Mkuu bei zao zikoje nilinganishe na huku
 
Back
Top Bottom