englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
pazuri.....
kabisaaa japo nikachezee maji au nipumzike ufukweni....Tuende basiii.
pazuri.....
Jamani nitafurahii...Napenda sana beach!!!The sea breeze,the feel of the warm sand on my feet....Lovely!!will take you there one day...si waona pako kama kule Jet Club
Jamani nitafurahii...Napenda sana beach!!!The sea breeze,the feel of the warm sand on my feet....Lovely!!
Ehhh haya tutaenda inshallah!!!Nimesha wahi kwenda hapo mahali mara kadhaa, ni sehemu nzuri sana kwenda...kwa Kigamboni huwa napenda hapo na Amani Beach...lol.
kaka salama!!!hebu niambie japo bei tu naweza kumuelekeza mtu kama mimi nitashindwa kumudu!!Nimesha wahi kwenda hapo mahali mara kadhaa, ni sehemu nzuri sana kwenda...kwa Kigamboni huwa napenda hapo na Amani Beach...lol.
gharama zake zikoje...?
kaka salama!!!hebu niambie japo bei tu naweza kumuelekeza mtu kama mimi nitashindwa kumudu!!
ok,naona hiyo iko ndani ya uwezo!!kigamboni hiyo siyo?Ni buku 5 tu mkuu kama kumbukumbu zangu zipo sawa...
Ehhh haya tutaenda inshallah!!!
ok,naona hiyo iko ndani ya uwezo!!kigamboni hiyo siyo?