Mahali gani naweza kupata GPS?

Mahali gani naweza kupata GPS?

Naweza kukuagizia yoyote utakayo toka USA,nipe specification. Delivery time 14 days

Ninahitaj ya kitumia shamban kusoma areas.... Na pia co mtaalam wa hzo kitu hvyo unaweza nisadie ipi ni bora na bei yake
 
Back
Top Bottom