Kama wanafanya chini ya usimamizi wa hakimu kuna shida gani? - mwisho wa siku si ni hakimu husika ndio anatoa maamuzi na kubeba dhamana ya maamuzi yaliyotolewa. Naona kama ni utaratibu wa kawaidia kwa fani/taaluma mbalimbali (udaktari, uhasibu, engineering etc).katika pita pita yangu nimekutana ni issue ya mahakimu wanafunzi (interns) wakiwa wanasikiliza Kessy na hata kuitolea maamuzi (hukumu) baada ya kuisikiliza. mawali ninayojiuliza bila majibu
Maswali ni mengi hivyo naomba ufafanuzi wa wataalaam wa sheria. Ieleweke sina utaalam wa taaluma hii ndio maana napenda kujifunza
- Je ni sahihi kwa hakimu mwanafunzi kusikilizakesy na kuifanyia maamuzi? Kama jibu ni Ndio nenda swali la pili na kama ni hapana nenda number 3
- Je wamekula kiapo?
- Je maamuzi waliofanya (hata kama ni chini ya usimamizi wa hakimu) je yana uhalali kisheria?
- Kama hawajaapishwa kisheria, je uhalali huo wameupata wapi?
- Wakati wanaendesha kesi, je watuhumiwa ama mlalamikaji atamuaddress kama hakimu (ieleweke bado ni mwanafunzi)?
- Je, kuna sheria yeyote inayowapa nguvu ama mamlaka kufanya ivyo? kama ipo ni ipi?
- Kama wafanyayo ni batili (null and Void) je kesi zilizoamuliwa na watu hawa zinaguvu kisheria?
katika pita pita yangu nimekutana ni issue ya mahakimu wanafunzi (interns) wakiwa wanasikiliza Kessy
na hata kuitolea maamuzi (hukumu) baada ya kuisikiliza. mawali ninayojiuliza bila majibu
Maswali ni mengi hivyo naomba ufafanuzi wa wataalaam wa sheria. Ieleweke sina utaalam wa taaluma hii ndio maana napenda kujifunza
- Je ni sahihi kwa hakimu mwanafunzi kusikiliza kesy na kuifanyia maamuzi? Kama jibu ni Ndio nenda swali la pili na kama ni hapana nenda number 3
- Je wamekula kiapo?
- Je maamuzi waliofanya (hata kama ni chini ya usimamizi wa hakimu) je yana uhalali kisheria?
- Kama hawajaapishwa kisheria, je uhalali huo wameupata wapi?
- Wakati wanaendesha kesi, je watuhumiwa ama mlalamikaji atamuaddress kama hakimu (ieleweke bado ni mwanafunzi)?
- Je, kuna sheria yeyote inayowapa nguvu ama mamlaka kufanya ivyo? kama ipo ni ipi?
- Kama wafanyayo ni batili (null and Void) je kesi zilizoamuliwa na watu hawa zinaguvu kisheria?
Kama ni hivyo basi kuna walakini!SMU,
Aliyeandaa na kusoma hukumu sio msimamizi bali hakimu mwanafunzi suala hapa sio utaratibu bali ni kujua huu utaratibu una nguvu kisheria?
Mkuu chuo cha sheria Lushoto wanasoma kina nani? Najua kuna mabadiliko yanafanyika kama ulivyonesha hapo juu
lakini Mwaka wa pili walikua field (practical) n.k Yote tunaita mafunzo kwa vitendo. sasa napenda kufahamu tu kisheria na taratibu zake wanaruhusiwa
Wakuu nashukuru kwa maelezo. Pia naomba tufuatilie yanayoendelea kwenye mahakama zetu
mtakua suprised sana maaana kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu.
sitopenda kuitaja mahakama lakini hapa hapa dar es Salaam wilaya za kinondoni na Ilala yanatokea.
Fuatilieni kwa karibu
Mkuu, huo niliopigia mstari ni udhaifu mkubwa kama kweli hupendi yanayotokea kwenye mahakama zetu. Hupendi kutaja majina ili kiwe nini? Na kwa nini basi tufuatilie ikiwa hata wewe umefuatilia na hupendi kutaja majina? Kila mtu afuatilie na ibaki kuwa siri yake? Namna bora kabisa ya kuwajibika kila mtu pale alipo ni kusema ukweli kwa yale ambayo tunaona yanaharibu jitihada za kuleta maendeleo. Huduma za mahakama ni muhimu sana katika kusimamia haki kwa wakati, na tunawajibika kutoa maoni kwa kusema ukweli pale tunapoona mambo hayaendi sawa.
Sasa mtu kama wewe akija na kusema kuna tatizo mahali, na hataki kutaja ni wapi, basi unajipunguzia mwenyewe heshima ya kusikilizwa na kuaminiwa. Sasa kama unashindwa kutaja hapa jamvini, tena pa wazi na huru, utataja wapi, kwenye mkutano wa wazi wa Chadema au CCM?