Mahakamani Kesi ya Lukuvi vs Kesi ya Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,528
Nikiangalia kwa umakini mkubwa mwenendo wa mashauri haya naona ni kama Lukuvi na Matiko ndio hawakutendewa haki.

Niishie hapo!
 
Hebu acheni kukuza mambo na kuzungumzia mambo msiyoyafahamu. Waziri Lukuvi alikuwa mlalamikaji na shahidi Wa Jamhuri tu. Jukumu LA kuendesha na kuthibitisha lilikuwa Ni LA Jamhuri. Sasa unafananishaje na kesi ya akina Matiko ambayo wao ndio washtakiwa? Bure kabisa wewe binti! Kwani usipoandika mada humu utakufa?
 
Tunaelekea January watu wanatafuta ada za shule

PETRO MSELEWA BADO UPO KATIKA KUSAKA VYEO(TEUZI)ACHA KUJIDJARIRISHA MKUU,NAONAREASONING CAPACITY INAENDA CHINI MKUU.
UMEPATWA NA NINI???
 
Hebu acheni kukuza mambo na kuzungumzia mambo msiyoyafahamu. Waziri Lukuvi alikuwa mlalamikaji na shahidi Wa Jamhuri tu. Jukumu LA kuendesha na kuthibitisha lilikuwa Ni LA Jamhuri. Sasa unafananishaje na kesi ya akina Matiko ambayo wao ndio washtakiwa? Bure kabisa wewe binti! Kwani usipoandika mada humu utakufa?
Ukishaona mtu au kijana yupo ccm ujue akili zake zipo kwenye tigo yake
 
Hebu acheni kukuza mambo na kuzungumzia mambo msiyoyafahamu. Waziri Lukuvi alikuwa mlalamikaji na shahidi Wa Jamhuri tu. Jukumu LA kuendesha na kuthibitisha lilikuwa Ni LA Jamhuri. Sasa unafananishaje na kesi ya akina Matiko ambayo wao ndio washtakiwa? Bure kabisa wewe binti! Kwani usipoandika mada humu utakufa?
Hahahaa......? Ndugai ndio shahidi wa Easther!
 
ifikie hatua kwa mtu anayeandika vitu visivyojitosheleza, alikuwa expert member akija kuangalia profile yake mara boom tayari kashushwa na kuwa new member.
 
Back
Top Bottom