Mahakamani Kesi ya Lukuvi vs Kesi ya Mbowe

Mahakamani Kesi ya Lukuvi vs Kesi ya Mbowe

Nikiangalia kwa umakini mkubwa mwenendo wa mashauri haya naona ni kama Lukuvi na Matiko ndio hawakutendewa haki.

Niishie hapo!

IMG_3101.JPG
 
Itasaidia kuondoa mauzauza hapa jamvini
ifikie hatua kwa mtu anayeandika vitu visivyojitosheleza, alikuwa expert member akija kuangalia profile yake mara boom tayari kashushwa na kuwa new member.
 
Wewe ni wakili msomi ndugu yangu. Swali lako umeandika nje ya "Context". Ungeandika kwamba "kwani Usipoandika mada humu hulipwi buku saba?"

Nakala: johnthebaptist
Mimi ni mstaafu ninayekula pensheni yangu kwa AMANI siyo kama wewe uliyefakamia mafao ya mzee wako ya EAC iliyovunjika. Mshukuru sana mzee Mkapa wa CCM ungekufa masikini!
 
[QUOTE="johnthebaptist, post: 29760078, member: 228646" Mshukuru sana mzee Mkapa wa CCM ungekufa masikini![/QUOTE]Nyie watu mnapenda sana kuabudu hao watu wenu waliotufikisha hapa tulipo sasa tunanuka umaskini unaopuliziwa kwa marashi ya kununua vitu visivyohusiana na maisha yetu!!
 
Back
Top Bottom