Mahakama za Tanzania zijifunze Mahakama za Kenya

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,367
94,548
Mahakama za Kenya zinaruhusu Live TV kwa masuala yote yahusuyo nchi mf Swala la Pingamizi za Uchaguzi, twaona TV ziko live.

Kwanini mahakama zetu zinaogopa?

Au mahakama zetu hazitendi haki?
 
Back
Top Bottom