Mahakama yatupilia Mbali Ombi la CCM Umeya Wa Jiji Dar

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Habari kutoka kwenye Ukurasa wa facebook wa Yericko Nyerere umeripoti
 

Attachments

  • IMG-20160226-WA0070.jpg
    IMG-20160226-WA0070.jpg
    56.4 KB · Views: 47
Kura zipigwe za wazi kama sio, ehheeeeee subiri mazingaombwe ya CCM. Mtaambiwa kesho ndio tunahesabu kura, halafu utasikia anatangazwa ndiyesiye
 
KURA ZIPIGWE ZA WAZI KESHO hakuna kinachozuia kura kuwa ya wazi
 
Nawambia siku CCM wakitoka madarakani,tunaweza zimia nchi nzima kwa uozo utakaoibuliwa.Huku kung'ang'ania Umeya ni ishara tosha ya hofu yao kuwa wapinzani watafichua madudu mengi iwapo Meya atatoka upinzani.

Tusubiri.


SASA WANANCHI NDIPO NINAPOWASHANGAA HAPO TU HIVI MEYA SI HAKI YETU? KWA NINI HAWATAKI KUFANYA UCHAGUZI, MIRADI MINGI HAIENDI KWA SABABU YA MASLAHI YA WATU WACHACHE NA MTUMBUA MAJIPU KAKAA KIMYA JE NI HAKI KWA WANANCHI WA BARABARA ZA MAKABE KIBAMA KWEMBE NA KWINGI NEKO KUTESEKA KWA USAFIRI KISA ETI CCM WANATAKA KUFICHA UOZO WA MEYA ALIYEPITA? WANANCHI TUWE MACHO JAMANI
 
Nasikia kesho wamepanga na polisi wakamate baadhi ya wajumbe wa UKAWA ili wapungue. Ikishindikana iundwe tume ya jiji kusimamia badala ya meya
 
Hilo ombi limepelekwa lini na mahakama imekaa wapi,huyo Yerico hakomi kuzusha
 
Back
Top Bottom