Hizi habari zina ukweli?
Yaani Mkuu unataka kusema mkuki kwa nguruwe...Mahakama jamani tusiilaumu, kama Mramba na Yona tulishangalia leo tulie??
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,.....................
Unamshukuru mungu yupi,!!! mungu wa mafisadi au?????!!!
Hivyo ndio kusema kwamba yule tunayemwamini kwamba ana inside information regarding Rostam na Richmond ameshindwa..Je wale wenzangu na mie wa makelele pwapwapwapwa...
Sijawahi kusikia kesi ya defamation ikiendeshwa kwa kasi ya aina hii hapa nchini. What does it mean? Sasa mkitaka kujua nguvu ya ufisadi ndiyo hii. Na bado tutashuhudia mengi zaidi. Kama hatutaki kupambana mafisadi watatumaliza! Amkeni jamani.
Sidhani kama habari hizi zina ukweli ; mbona muanzisha thread amemtaja wakili wa Rostam [Fungamtama] lakini ameacha kumtaja huyo judge wa mahakama kuu aliyetoa hiyo ex-parte hukumu? Ingekuwa kweli ungeona jinsi wakina GT wanavyoshangilia humu!
Kwahiyo Kasheshe unaamini kuwa Richmond haina uhusiano wowote na Rostam?
Wewe kula hizo fedha za Rostam, nenda msalani, kalale.Nilisema hapa siku moja kiwa Kubenea analipuka hovyo na baadhi ya watu mkamuona ni mpiganaji shupavu.mkasema mtapigana nae mpaka kufa,ata kama mna mpiganaji shupavu lakini lazima awe na mbinu za kipigana sio kutoa kichwa wakati lisasi zinalia.Kubenea ambae kaponzwa na akili iliokosa elimu ya kutosha amekuwa akiingizwa tu kichwa kichwa na kina mwak,anaandika bila ata kufata ethics za uandishi wa habari,na ninawaakikishia hapa kuwa hakuna kesi ata moja atashinda kati ya zote 6alizofunguliwa.....chukueni makala zake waombeni waandishi waliobobea wazipitie watawaambieni jinsi alivyokosa umakini wa kazi zake...atafungwa kwa kushindwa kulipa na tutamlipia shs2500 kila siku atakapokuwa jela.Mungu ibariki Tanzani
hukumu haitoki hapo kwa hapo jaji hukaa na kuiandika lazima Itawafikia walengwa ndani ya wiki hadi siku kadhaa. Inaandikwa inachapwa halafu inatumwa kwa wahusika.huyu s.o.b vipi? Moderator, humu ndani ktk jf tumeingiliwa na watu wanaovuta. Inafaa kuwafanyia vetting ya nguvu. Hukumu tarehe 29 aprili, siku 12 zilizopita hakuna hata gazeti moja la rostam lisitoe hizo habari?
Moja ya sifa kubwa ya JF ni kutosubiri habari kutoka magazetini, zaidi magazeti mara kwa mara wamekuwa wakichapisha habari zao toka hapa JFHuyu s.o.b vipi? Moderator, humu ndani ktk JF tumeingiliwa na watu wanaovuta. Inafaa kuwafanyia vetting ya nguvu. Hukumu tarehe 29 Aprili, siku 12 zilizopita hakuna hata gazeti moja la Rostam lisitoe hizo habari?
Atazito kwa wale waliokuwa na wanaoendelea kumtuma yaani kile chombo cha kutolea sauti kwenye redio au namba ilyo baada ya tano.