McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"
Soma Pia: MWABUKUSI: Kesi ya uhaini ya Lissu iwe LIVE Mahakamani

- Lissu: Naomba Mahakama kesi yangu irushwe mubashara ili kuondoa tatizo la wanachadema kupigwa nje ya Mahakama
- GE2025 Vibanda umiza vya Tarime vyajaa, kufuatilia Kesi ya Tundu Lissu
- Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue