authentic
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 663
- 241
nimes
nimeshangaa sanaWahukumiwe halafu warudishwe mahabusu?
nimeshangaa sanaWahukumiwe halafu warudishwe mahabusu?
Na haya ndio mawazo yenu ni kujihami cku zote..... hakuna mpinzani anayepinga kitu flani huwa wanapinga utekelezaji/mchakato wa hilo jambo. Mfano kesi hii watu hawatopinga HAO WAHUNI KUPEWA ADHABU ila watapinga labda aina ya adhabu au mchakato wa kesi fullstop ssa watu wenye fikra za kujihami kma wewe ndio mtaishia kusema WANATETEA MAFISADI!!!! kwa kweli mbadilikeKuna watu lazima waiipinge hii najua
Kidogo sana hiyo kimsingi walipaswa kufilisiwa na kupigwa P. I.
yawezekana.Wabongo bwana inaelekea hatujui tunahitaji nini kutoka kwa viongozi wetu.
Basi tusijivunie uzalendo na kuwapenda Wananchi kama hatuwezi kutimiza kwa vitendoNadhani ulimaanisha kosa dogo lisilolingana na kosa kubwa alilolifanya. Yawezekana ni tatizo katika sheria zetu. Ila ikumbukwe mwenye nacho.....
Kuna malalamiko yoyote yalishawahi kuripotiwa rasmi?Kwahiyo mkuu ndo unataka kutuaminisha nini?
Kwamba serikali inajali zaidi wageni?
Ushawahi kujiuliza wenye vyeti feki wamewaathiri vipi wale wenye vyeti halali??
Au hawa hawana haki??
Mtanzania mzalendo ni yupi??
Ulitaka na hawa nao waombwe kubadili vyeti au??
Kuwa muwazi kwa kipi unataka kiwe.
Hukumu hii ingekuwa kwa maskini wangepelekwa moja kwa moja gerezani na siyo mahabusu, maana tafsiri yske ni kuwa wameshindwa kulipa faini. Sasa huu upendeleo unatoka wapi?Bado hawajalipa. Mpaka walipe ndio wanaachiwa.
Kuna malalamiko yoyote yalishawahi kuripotiwa rasmi?
Dhana ya kinachoitwa vyeti feki unaijua vema?
Athari za wenye 'vyeti halali' ni zipi dhidi ya 'vyeti feki'?