Mahakama ya wanyama pori duniani

Mahakama ya wanyama pori duniani

Mabruck

Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
5
Reaction score
4
Wahenga wanadai kwamba, huwezi kupeleka kesi ya nyani mahakamani na hakimu akawa muheshimiwa ngedere. Naommba maelezo ya kina kuhusu msemo huo. ina maana ngedere hawezi kusikiliza vizuri shitaka jinsi lilivyo kwanza na ndipo aka -allpy law au kwakuwa ni walewale.YOU MAY RESPOND THIS QUESTION WITH POSSIBLE EXAMPLES IN OUR NORMAL LIFE SPECIFICALLY BASING ON TZ CONTEXT.
 
Back
Top Bottom