Mahakama ya kodi ilisema ACACIA imesajiliwa BRELA

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
Ndugu wanajamvi TRA ilikuwa ikiwadai kodi ACACIA na waliwahi kushtakiana kwenye Tribunal hukumu ilisema ACACIA walisajiliwa toka mwaka 2010 kama Barrick kilichofanyika ni kubadili jina tu.

TRA walikuwa wakikusanya kodi kutoka ACACIA waliwezaje kufanya hivi wakati sheria ya kodi inasema lazima wawe wamesajiliwa ili kulipa kodi?
f237014205f198f26f1f4d8aa4faa898.jpg
 
Nchi iko kwenye mtanziko mkubwa.
 
Kuna mtu anatoa hewa mbaya hapa, amekula maharage au kunde za wapi?
 
Ndugu wanajamvi TRA ilikuwa ikiwadai kodi ACACIA na waliwahi kushtakiana kwenye Tribunal hukumu ilisema ACACIA walisajiliwa toka mwaka 2010 kama Barrick kilichofanyika ni kubadili jina tu.

TRA walikuwa wakikusanya kodi kutoka ACACIA waliwezaje kufanya hivi wakati sheria ya kodi inasema lazima wawe wamesajiliwa ili kulipa kodi?
f237014205f198f26f1f4d8aa4faa898.jpg
Hivi kwanini mnakuwa wajinga kadri siku zinavyoenda? soma tena,hizi propaganda mnalipwa bei gani? kwa huu ujinga hata Acacia hawatakulipa.
 
Ndugu wanajamvi TRA ilikuwa ikiwadai kodi ACACIA na waliwahi kushtakiana kwenye Tribunal hukumu ilisema ACACIA walisajiliwa toka mwaka 2010 kama Barrick kilichofanyika ni kubadili jina tu.

TRA walikuwa wakikusanya kodi kutoka ACACIA waliwezaje kufanya hivi wakati sheria ya kodi inasema lazima wawe wamesajiliwa ili kulipa kodi?
f237014205f198f26f1f4d8aa4faa898.jpg
Statemnet kwenye mabano ilikuwa inahitaji ushahidi kutoka brela ila kwa sababu mahakama zetu nazo ndio zinahukumu ulipe mil 200 wakati umeiba 1.3 bil ndio hivyo tena!All in all it changes Nothing jina pale juu la Appelant ndio lina uzito
 
Back
Top Bottom