Mahakama ya katiba ianzishwe Tanzania

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,670
22,261
Tanzania nchini ya mfumo wa vyama vingi tunahitaji tuwe na mahakama ya katiba itakayosimamia utekelezaji wa katiba nchini.

Siku hizi ni kawaida sana kila viongozi kujiamulia jambo lolote kulifanya nje ya katiba ya nchi bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa! Ni kwamba katiba ya nchi imepumzishwa.
 
Back
Top Bottom