Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

acha ujinga kwnn ukoment usichokijua

assadsyria;
Sikutegemea zaidi ya hili kutoka kwako kwa sababu sijakuuliza weye, wala hapo sija koment niliomba kufahamishwa mengi zaidi kwani sijayasikia hayo itv. Upo hapo, naona kati yangu na weye aliye koment asoyajua ni weye. Pole sana, au jamaa aligusa ile dini
 
Suala la Mahakama ya kadhi kujadiliwa na kutungiwa utaratibu wa kisheria na Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano ni kujiandaa na janga la kesho.

Serikali na viongozi wake lazima waache mzaha na masuala ya imani za watu. Ni vipi Wabunge wakritu watashiriki kutunga taratibu za kuendesha shughuli za imani ya kiislamu?

Ukiangalia namna viongozi na hasa waziri mkuu wanavyolibebea bango nikama hawajenda shule na hawajasoma na kuijua vema historia ya Tanzania na nchi zilizoingiza mfumo wa dini katika tawala zao.

Tanzania haiitaji Bunge au Serikali kutengezea dini fulani utaratibu wa kuendesha shughuli zao na hasa mahakama ya Kadhi.

Tuendelee kufanya mzaha kwa tamaa ya Madaraka na tutalipa gharama kubwa juu ya hili.
 
Umeripoti kiupendelea zaid....sio waislam wamefanya fujo but wabungo woote coz wameshindwa kukubaliana

Mkuu vurugu na maneno ya uchochezi yameibuliwa na waislamu kulazimisha muswada uende.
 
Serikali iache kulazimisha mahakama ya kadhi kwenye secular state kama yetu Kikwete na Pinda ivi hamujui kinachoendelea au mpaka mambo yaharibike.
 
Mh. Rais kaongea jana ina maana ni agizo. Leo kunafanyika semina kwa wabunge ili kuwaelewesha litatekelezwa vipi iwapo ikianzishwa. Yaani lipitishwe bungeni. Pinda anasema atashauriana na Rais aone inakuwaje. Wabunge wanatupiana maneno kuhusu ili suala kuingizwa bungeni.

Sasa kama Rais katoa agizo kwanini huu mchakato uendeleee? Si inatakiwa waislam waendelee wenyewe? Kuna nini hapa? Pinda ni kweli unashinikiza hili?
 
mbunge jaffo wa kisarawe tuliza majeshi usitake kutupuleka kule Kwamba mimi mkirsto ama mwislamu tunayoyashuhudia nchi za majirani yanatisha. kikao cha waislamu ambacho umeitisha cha nini na kwa sababu zipi?
 
hali si o mby ila hawa wakirsto washenzi sn wanapinga kitu ambacho wingereza Italy wanakikubali kwenye katiba zao

Hiv kwa nini mnapenda kutukana watu, kwan we ukitoa tu hoja bila kutukana itakuwaje...

halaf kwan kama waingereza na wafaransa waliikubali mahakama ya kadhi ni wao na mazingira ila siyo ya hapatanzania

Hala leo cha kushangaza eti na wewe leo unaitetea uingereza na kuiona iliwahi kufanya jambo la maana duniani, muislam kabisa anasifu nchi za makafiri?.

Kweli nimeamini dini si mchezo.

Mungu ibariki Tz...
 
Ni vema serikali ikaachana na huu mradi....

Kwa hali ilivyo ni wazi utatokea mgawanyiko mkubwa Wa kidini jambo hili likifika bungeni....

Hali ni mbaya hili jambo lisitishwe!!!

Hakuna kuachana nao kienyeji mpaka kieleweke tu, tunataka mahakama ya kadhi kwa vyovyote, mkitaka tuachane nao serikali ivunje MOU na kanisa katoliki
 
Kikwete anaitakia nini Tanzania?

Hii mahakama ya kadhi ni ya dini moja, kwa ni ni inalazimishwa kuingizwa kwenye katiba ya nchi?

Kwa nini serikali ilazimishwe kutambua maamuzi yanayotolewa kwa misingi ya imani ya dini moja?

Hawa watu wanapoona hawataki kuhukumiwa kwa sheria za hiyo dini ama wakabadili dini wataponaje na mkono wa jambia la uislam?

Pinda anapaswa kuona haya. Amekuwa kwenye uongozi Tangu enzi za Mwalimu na anajua namna gani hekima ilitulmika kuliepusha taifa na madhara yatokanayo na srikali kuifungamanisha na dini. Inakuwaje leo amekuwa kipofu anataka kulipeleka taifa kwenye majanga anayoyafahamu?

Kwa ni ni waislma wana lazimisha serikali itambue maamuzi ya imani yao as if hiyo ndiyo imani ya serikali?

Je kwa kikao kuendeshwa chini ya mtutu, watapitisha hou mswada kwa usimamizi wa bunduki? Katiab ya nchi inasemaje?

Iko wapi democrasia na uhuru wa Watanzania kufuata misingin na dini wanazozitaka ili mradi wasijvunje sheria ikiwa serikali inajiweka kwenye ukiranja wa kulazimisha watu kutii na kufuata dini ya kiislam?

Hivihii mahakama ya kadhi, ina tija gani katika maendelea ya taifa? Inagusaje maslahi ya taifa kwakuondoa kwenye waislam?


Kikwete atuachie nchi yetu. Anayomasual mengi ya kujenga jina badala ya kulazimisha kuisilimisha nchi kwa nguvu. Anaweza kujenga jina kwa kutatua migogoro kwenye chama chake; kumaliza mgororo wa ziwa nyasa;, kutengeneza tume huru ya uchaguzi, ku review mikataba fake na kuwawajibisha mafisadi, badala ya kutaka kufanya graduation yake kwa kutengeneza mitafaruku inayopelekea umwagaji damu nchii kama matumizi ya mabavu katika ura za maoni, mfumo wa hila wa uandikishaji wa wapiga kura; kupitisha katiba chafu kwa nguvu; kulazimisha nchi kufuata sheria za dini yake n.k.

Vinginveyo, nawapongeza sana Wabunge wetu waliosimama kidedea hata mbele ya mitutu ya Bunduki, kuukataa mswada wa kadhi usiingie bungeni.

Nimesikitishwa na wawakilishi waliokuwa wakitetea muswa huo kwa kuendesha mijadala kwa vitisho, "Eti sisi waislam, tukutane tujue tunafanya nini;, maramwanasheria mkuu wa anawatishia wabunge eti atatumia madaraka yake mengine'. huu ni wehu na fedheha.

WABUNGE WETU, MNAOTETEA KATIBA YA NCHI, NA KUKATAA KUPELEKWA MUSWADA WA DINI YA KIISLAM KUWA DINI YA SERIKALI BUNGENI, TUNAWAOMBEA NA TUTAKUWA PAMOJA NANYI HADI TONE LETU LA MWISHO LA DAMU.

HAMKO PEKE YENU, TUKO PAMOJA NANYI, MUNGU AWATUNZE, AWALIINDE, NA KUWAPA NGUVU, MSHIKAMANO, MAARIFA NA BARAKA ZAIDI.
 
Back
Top Bottom