Mahakama ya kadhi na changamoto ya ugaidi!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Nilifikiri na wao pia walifikiri ya kuwa tukiweka mahakama ya kadhi huko Kenya tutakuwa tumewaridhisha waislamu.

kwamba tutakuwa tumewaridhisha makundi yenye msimamo mkali na tutawaonesha kuwa serikali imeanza kutatua matatizo ya waislamu.

Hizi zilikuwa ni fikra za wanasiasa huko kenya na pengine ni fikra za wanasiasa ndani ya Tanzania leo hii.

Mahakama ya kadhi haijawatisha au kuwaogofya magaidi na vile vile haijahukumu magaidi.

Niliyoyasema yatakuwa muhimu iwapo Kenya kuna mahakama ya Kadhi...!

Niliyoyasema hayasemi kuwa waislamu ni magaidi...!

Niliyoyasema ni onyo kwa wanasiasa kutofikiri au kutumia mahakama ya kadhi kama bakora ya uhalifu au ugaidi.

Paska Njema!
 
Pumba.com
 
Shetani ataridhikaje ? Mahakama ya kadhi ni moja tu ya madai kwenye list yake. Ukimweka kwenye chupa anatoa kidole ukikikata ananyanyua tako,
 
Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo hadi mfuate mila zao(quran);shetani ni ww unaetaka kila binadamu aamini unachokitaka wewe uislam sio ugaidi na wala hauungi mkono ugaidi ila kwa vitendo vyenu vya udini;ufisadi;superiority complex kwa kila kitu;kujiona ninyi ndo mnafikiri kwa kichwa na waislam wanafikiri kwa makalio inachochea ugaidi; na watu kutumia dini kuonyesha hasira zao na wala sio maandiko ya dini.

Muhimu ndugu yangu tuaminiane kama wa tz ;tukubali imani za wengine na tukae mezani tujadiliane kwann hali hii ya sintofaham inataka kuigubika tz;otherwise yatatukuta kama wenzetu
 
Uislam haujawai kuwa dini ya Amani. Somalia 99% ni Waislam wako wapi ? Machafuko yanayoendelea dunia nzima mbona ni nchi zenye Waislam

Hapa Tanzania waislam wanadekezwa kama watoto mpaka kuchinja tumewaruhusu tunaishia kula nyama zilizonenewa maneno ya kipepo ili tu wajisikie vizuri lakini wapi?
 
Uislam unatakiwa utawale kila kona maana ndio dini pekee ya ukweli kama alivyosema mwenyezi mungu.. ukristo si dini kama tunavyoshuhudia duniani huku kwa sasa wakiipa chapuo sana ushoga. Dini gani inasapoti ushoga ni kulaaniwa huko. Kamwe siwezi nikaenda sehemu kujitangaza ni mkristo ni Sawa na kujitangaza kwamba unaruhusiwa kuliwa
 
Ni andiko gani kwenye Biblia umeona linasupport ushoga!!!??.. Hao wanaosupport ni wanadamu tu ambao wameamua kupotosh kama wale tu ambao wanatumia uislam kuchinja na kuua wasiokuwa waislam
 
Mahakama ya kadhi hata kwenye quran haijatajwa. Ni binadamu mwenye wivu na chuki ndiye aliyebuni mahakama ya kadhi. Waislam wengi tu wapo waliosoma na wengi tu ni matajiri lakini hawataki kujihusisha wala kuwaelimisha waislamu wenzao kustaarabika katika misingi ya kiimani.Mambo ya kiimani yanafanywa kisiasa ukichanganya na UAFRIKA na UARABU ni taabu. Heko kwa kundi la maimamu wa ulaya walioamua kuanzisha Jarida la kuwapambana na waislamu wenye itikadi kali.
 
Ni andiko gani kwenye Biblia umeona linasupport ushoga!!!??.. Hao wanaosupport ni wanadamu tu ambao wameamua kupotosh kama wale tu ambao wanatumia uislam kuchinja na kuua wasiokuwa waislam

Ukiongelea ushoga sijui kama utaweza kuutenganisha na Islamic culture maana huko ndiko chimbuko na mizizi yake ilipo
 
Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo hadi mfuate mila zao(quran);shetani ni ww unaetaka kila binadamu aamini unachokitaka wewe uislam sio ugaidi na wala hauungi mkono ugaidi ila kwa vitendo vyenu vya udini;ufisadi;superiority complex kwa kila kitu;kujiona ninyi ndo mnafikiri kwa kichwa na waislam wanafikiri kwa makalio inachochea ugaidi; na watu kutumia dini kuonyesha hasira zao na wala sio maandiko ya dini.

Muhimu ndugu yangu tuaminiane kama wa tz ;tukubali imani za wengine na tukae mezani tujadiliane kwann hali hii ya sintofaham inataka kuigubika tz;otherwise yatatukuta kama wenzetu

Thanx in advance mkuu
 
mwisho wa hii thread leo humu ndani ni ngumi tu.............sijui kwanni Al Shaabab wali intent kuua wakristo pekee at Garissa sijui ndo wataenda peponi Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Hivi wa hindu nao wapo wapi na dini nyingine hivi hao hawana chao
 
Uislam unatakiwa utawale kila kona maana ndio dini pekee ya ukweli kama alivyosema mwenyezi mungu.. ukristo si dini kama tunavyoshuhudia duniani huku kwa sasa wakiipa chapuo sana ushoga. Dini gani inasapoti ushoga ni kulaaniwa huko. Kamwe siwezi nikaenda sehemu kujitangaza ni mkristo ni Sawa na kujitangaza kwamba unaruhusiwa kuliwa
🙄:banghead:

Ni andiko gani kwenye Biblia umeona linasupport ushoga!!!??.. Hao wanaosupport ni wanadamu tu ambao wameamua kupotosh kama wale tu ambao wanatumia uislam kuchinja na kuua wasiokuwa waislam
 
Uislam haujawai kuwa dini ya Amani. Somalia 99% ni Waislam wako wapi ? Machafuko yanayoendelea dunia nzima mbona ni nchi zenye Waislam

Hapa Tanzania waislam wanadekezwa kama watoto mpaka kuchinja tumewaruhusu tunaishia kula nyama zilizonenewa maneno ya kipepo ili tu wajisikie vizuri lakini wapi?

Ni swala la Elimu tu hapo. Yaan wakristo mnachonishangaza ni kua mna uhaba wa information lakin the way mnavyo jitahidi kupambanua mambo msio yajua...duh hadi nachoka

Sasa ww hapo hujui chochote juu ya dini hii..nna uhakika 100%.. Unajua vya kusikia na kusimuliwa tu..siwez kukufafanulia chochote zaidi ya kukuomba hue mstarabu kwa kutopayuka vitu usivyo vijua
 
Akili za kijinga kweli hizi. Kwani nchi zote zenye mahakama ya kadhi zinashamiri vitendo vya kigaidi? Kumbuka ugaidi wa Kenya hautokani na wakenya wenyewe bali kutokana na uamuzi wa nchi hiyo kupeleka majeshi huko Somalia. Hata magaidi wanapolipua huko Kenya mara zote hukimbilia kutamka kuwa wanataka serikali ya Kenya kurejesha majeshi yao vinginevyo wataendelea kuishambulia
 
nadhani akili yako imejaa matope. Mungu gani aliyeshuka na kukueleza kuwa Uislamu ni dini ya Mwenyezi Mungu??? Na wapi kwenye Biblia inasapoti ushoga???? Ni vema kujiheshimu na kuheshimu dini za wengine. Kama Uislam ni dini ya Mungu ni kwa namna gani aruhusu machafuko ya mara kwa mara Misri, Syria, Somalia na nchi nyinginezo za kiislamu???? Unayajua makusudi ya Mungu kumuumba mwanadamu. Panua ubongo wako kufikiri na sio kufuga Ndevu tu kwani haziongezi akili zaidi ya uchafu.
 
Back
Top Bottom