Mahakama ya kadhi na changamoto ya ugaidi!

Mahakama ya kadhi na changamoto ya ugaidi!

Uislam haujawai kuwa dini ya Amani. Somalia 99% ni Waislam wako wapi ? Machafuko yanayoendelea dunia nzima mbona ni nchi zenye Waislam

Hapa Tanzania waislam wanadekezwa kama watoto mpaka kuchinja tumewaruhusu tunaishia kula nyama zilizonenewa maneno ya kipepo ili tu wajisikie vizuri lakini wapi?

Duh hatari kwa kweli...nao ni wabishi kupita maelezo...wagumu wa kuelewa.
 
Ni swala la Elimu tu hapo. Yaan wakristo mnachonishangaza ni kua mna uhaba wa information lakin the way mnavyo jitahidi kupambanua mambo msio yajua...duh hadi nachoka

Sasa ww hapo hujui chochote juu ya dini hii..nna uhakika 100%.. Unajua vya kusikia na kusimuliwa tu..siwez kukufafanulia chochote zaidi ya kukuomba hue mstarabu kwa kutopayuka vitu usivyo vijua

Wacha kukariri ndugu. Sio zama zile za mwanzo tulipokuwa hatutaki kujua mambo yenu ya giza
 
Me siwezi kuongea na watu wasio na dini na mashoga. Hakuna dini mbele ya mwenyezi mungu isipokuwa uislam. Ni Aibu kuwa mkristo maana tunaona kote duniani wanavyotetea ushoga. Kujitangaza kuwa mkristo ni Sawa na kujitangaza kuwa unaliwa. Sasa kwa nini Sisi tulio na dini bora tu argue na mashoga? Achaneni nao hau ndugu zangu waislam. Wache waendelee na utetezi wao wa ushoga duniani
 
Akili za kijinga kweli hizi. Kwani nchi zote zenye mahakama ya kadhi zinashamiri vitendo vya kigaidi? Kumbuka ugaidi wa Kenya hautokani na wakenya wenyewe bali kutokana na uamuzi wa nchi hiyo kupeleka majeshi huko Somalia. Hata magaidi wanapolipua huko Kenya mara zote hukimbilia kutamka kuwa wanataka serikali ya Kenya kurejesha majeshi yao vinginevyo wataendelea kuishambulia

Bado hujajikita kwenye mantiki ya hoja yangu.Kilichopelekea kukubalika na hatimaye kuanzishwa mahakama ya kadhi ni fikra potofu kwamba once ukiruhusu mahakama ya kadhi basi utakuwa umepiga hatua katika utatuzi wa changamoto zinazowakabili waislamu ambazo kimsingi na changamoto zinazoikabili jamii nzima.

Hiki ndicho kinachoaminiwa na wanasiasa watafuta kura na waumini wanaodai mahakama hiyo.

Lizaboni kwa kuwa sina data za nchi zote zenye mahakama ya kadhi na hali zake za kiusalama basi ni vyema ukaniwekea nchi zilizopunguza uhalifu au ugaidi kwa kupitia mahakama ya kadhi.

Karibu kwa hoja na sio vihoja.
 
Last edited by a moderator:
Me siwezi kuongea na watu wasio na dini na mashoga. Hakuna dini mbele ya mwenyezi mungu isipokuwa uislam. Ni Aibu kuwa mkristo maana tunaona kote duniani wanavyotetea ushoga. Kujitangaza kuwa mkristo ni Sawa na kujitangaza kuwa unaliwa. Sasa kwa nini Sisi tulio na dini bora tu argue na mashoga? Achaneni nao hau ndugu zangu waislam. Wache waendelee na utetezi wao wa ushoga duniani

Ona aibu kuwa Muislam ndugu. Ni walimu wangapi wa madrasa wamepata kesi za kulawiti watoto, nani anayeweza kubisha kwamba waarabu kugeuzana kwao ni Sunna. Twende zaidi mpaka Waislam wameahidiwa kupewa vijana wakiume ahera hii ni nini
 
Uislam haujawai kuwa dini ya Amani. Somalia 99% ni Waislam wako wapi ? Machafuko yanayoendelea dunia nzima mbona ni nchi zenye Waislam

Hapa Tanzania waislam wanadekezwa kama watoto mpaka kuchinja tumewaruhusu tunaishia kula nyama zilizonenewa maneno ya kipepo ili tu wajisikie vizuri lakini wapi?

Ww kama nani unaongea hvyo labda......?
 
Ni andiko gani kwenye Biblia umeona linasupport ushoga!!!??.. Hao wanaosupport ni wanadamu tu ambao wameamua kupotosh kama wale tu ambao wanatumia uislam kuchinja na kuua wasiokuwa waislam

wakristo halisi wamekataa ushoga na kamwe hatakuja kubaliwa na mkristo halisi. Hao wanao support ushoga sio wakristo, maana huwezi kuwa mali ya Jesus Christ na ukasupport uovu, soma bible kaka utakubali maneno yangu.
 
Hujiulizi kwann maafisa wa uslm waliwauwa masheh2 si mapadre ukicheka iposk utalia jf ifungiwe imevuka mpaka najua
 
2karma mfumo krost mnakataa mambo ya kadhi kwann wakrist ndio wakatae kwann wasikatae wahindi wapagan au serekal tanasikia matamko kwa mpadre tunajua sana sheria zinazotumika ni za kristian sema zina mapungufu kweli nchi1 iwe na hukumu tofauti halafu katiba ijue baadhi ya hukumo
 
Dini ya Mungu unayomaanisha ni ipi, Hii hapa au kuna nyingine?

Acha kabis wewe. Ninaomba watu wote wafungue hapa waone Makambo.

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...m5YovdUk8nhfGpIlg&sig2=jzEJh2zrHpeaqcNQVscBLg

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...X9CaiYfinNNkhFicQ&sig2=2AT-4K4g7S9xkaLf3g_kxA

Na urudi hapa kutoa maelezo.

Uislam unatakiwa utawale kila kona maana ndio dini pekee ya ukweli kama alivyosema mwenyezi mungu.. ukristo si dini kama tunavyoshuhudia duniani huku kwa sasa wakiipa chapuo sana ushoga. Dini gani inasapoti ushoga ni kulaaniwa huko. Kamwe siwezi nikaenda sehemu kujitangaza ni mkristo ni Sawa na kujitangaza kwamba unaruhusiwa kuliwa
 
Wakenya sasa hivi wanauawa kwa sababu ya kukubali Mahakama ya Kadhi
 
mwisho wa hii thread leo humu ndani ni ngumi tu.............sijui kwanni Al Shaabab wali intent kuua wakristo pekee at Garissa sijui ndo wataenda peponi Mohamed Said

Kamanda mkuu Mohammed nae alichinja Wakristo, soma hii

Sura 33:26-27
Killing of Christians

Na akawateremsha wale walio wasaidia (maadui) katika Watu wa Kitabu [Wakristo] kutoka katika ngome zao; na akatia khofu katika nyoyo zao. Baadhi yao mkawa mnawauwa, na wengine mnawateka.
 
Dini ya Mungu unayomaanisha ni ipi, Hii hapa au kuna nyingine?

Acha kabis wewe. Ninaomba watu wote wafungue hapa waone Makambo.

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...m5YovdUk8nhfGpIlg&sig2=jzEJh2zrHpeaqcNQVscBLg

https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...X9CaiYfinNNkhFicQ&sig2=2AT-4K4g7S9xkaLf3g_kxA

Na urudi hapa kutoa maelezo.

Hahahaaa nimecheka sana jinsi makafiri wanavyojitahidi kujipa imani. Kutokana na ukweli wa uislam kila kona hujifanya maadui wa ukweli. Nikuambie tu ukristo si dini ndio maana hata bibria hufanyiwa amendment kwa watakavyo makafiri. Sasa duniani kote kunadiscussion ya kuweka ushoga utambulike kwa waroman, Lutheran na protestant. Kuonesha kwamba uislam hauruhusu hicho huwezi hata kutamka neno shoga mbele ya waislam ni ukafiri mkubwa. Just think kijana, try to analyse the situation mnadanganywa by simple analysis. Labda uwe na malengo ya kuwa shoga baadae ndio usibadilike
 
Uislam unatakiwa utawale kila kona maana ndio dini pekee ya ukweli kama alivyosema mwenyezi mungu.. ukristo si dini kama tunavyoshuhudia duniani huku kwa sasa wakiipa chapuo sana ushoga. Dini gani inasapoti ushoga ni kulaaniwa huko. Kamwe siwezi nikaenda sehemu kujitangaza ni mkristo ni Sawa na kujitangaza kwamba unaruhusiwa kuliwa

Mungu yupi mkuu?
 
Back
Top Bottom