Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Kwani waislamu hawalipi kodi? Acheni unazi wenu huo dunia inabidilika wakubwa!!!
Na wale Coptic Orthodox Christians amabo Christmas yao ni 7th of January, nayo hiwe siku ya mapumziko...!Hongereni sana! Na sisi serikali itukumbuke February 3, 2011, iwe ni siku ya mapumziko, ni mwaka mpya kwa sisi wachina. Pia wapwa zangu ni waorthodox tunataka iwe siku ya kitaifa ya mapumziko hapo January 14, 2011.
Tupewe tunachokitaka.
Mkuu una point sana but lamsingi tuangalia je ule mwaka 2011 A.D. je ni mwaka wa nini kama Adomino je inakuwaje? Watoe tu kama ni watu wana significant impact katika population ya Tanzania wapewe kama wanataka.
Yote maisha tu. After all mahakama inawahusu waumini ambao kwa hali ya Kibongo, ni wazi kuwa wengi sana watakuwa na mkono mmoja maana kwa kupenda kwao ********** watahukumiwa sana. Tujiandae kupata walemavu wengi zaidi.:embarrassed:
Na wale Coptic Orthodox Christians amabo Christmas yao ni 7th of January, nayo hiwe siku ya mapumziko...!
Tutakuwa na sikukuu nyingi kitaifa, heko Muadhama sheikh Simba. Kumbuka wenzenu wanafikiria kuanzisha mabenki nyie mnang'ang'ana na mahakama ya kadhi na kuwa na siku nyingi za kupumzika.siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu
Mimi ni christian naomba wakristo tuwe na moyo wa uvumilivu kama waislamu.kwa nini nawaita ni wavumilivu,sababu hizi hapa.
Wakristo 1.jumapili ni mapumziko
2.mwaka mpya
3.ijumaa kuu
4.jumatatu ya pasaka
5.chrismas
6.boxing day
waislam 1.ijumaa siku ya kazi.
2.idd zipo 3 kama sijakosea ni mapumziko.
3.mwaka mpya,kimyakimya.
Kama kweli tunataka amani ya kweli tuwape waislamu haki yao.tz hizi dini zipo karibu sawa sasa kama kuna mmoja ataonewa kwa namna yoyote ile nakwambia amani tutaipoteza.naomba wakristo wenzangu msinishambulie kwani hiyo ndiyo njia ya kweli kwani hata biblia inasema hata mtumwa wako tu unatakiwa kumpa haki yake.
Hii nchi hakuna mwenye mamlaka ya kumtawala mwenzake na kama mmoja wetu atajidanganya kulifumbia macho hili ataona matokeo yake.
Waislamu wapewe mahakama ya kadhi na mapumziko siku ya mwaka mpya wa kiislamu na tuwaombe radhi kwa kutuvumilia
hapo ndipo tutakuwa na amani ya kweli na sikukuu zote tutasherehekea kwa pamoja na amani.
Nawasilisha.
Hapa zinazungumziwa sikukuu na mapumziko kwa ujumla wake, sasa kwani kuna ubaya gani wale Coptic Orthodox Christians amabo Christmas yao ni 7th of January, nao wakadai mapumziko...!?Xpaster I always admire you, in most cases your wrong. Nadhani tunazungumzia mwaka mpya
Nadhani tutakuwa na sikukuu nyingi kitaifa.
Hapa zinazungumziwa sikukuu na mapumziko kwa ujumla wake, sasa kwani kuna ubaya gani wale Coptic Orthodox Christians amabo Christmas yao ni 7th of January, nao wakadai mapumziko...!?
Ah! Wewe hujui kuwa kalenda uhesabiwa kuanzia kuzaliwa kwa bwana Yesu kristo... Si ndio tarehe ilipoanzia hapo, so ni kama mwaka mpya vile, au wewe unaonaje?
Soma maandishi hayo mekundu! Usijifanye hutaki kuelewa, asante sanaMufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Eh! Mkuu masa nilikuwa sifahamu ili, kuwa Mahakama ya Kadhi, kazi yake itakuwa kukata watu mikono...!Kwa mara ya kwanza hujanitukana wala kunikashfu! Nadhani hakuna haja ya serikali kujali hata wale minority ambao population yao haiko significant.
Mapumziko ya kitaifa tarehe hizi January 14, 2011, na February 3, 2011. Ni muhimu sana pia iundwe wizara ya kushughulikia walemavu, maana mahakama ya kadhi na sharia wengi watakatwa mikono, miguu na kupondwa mawe.
Hongereni sana waislam sauti yenu imesikika.
This is non sense!it is like some one who is suffering from mental disorder !Go to hell,you have nothing to do in this world!
Hayo maandishi mekundu nimeyaelewa sana, na mwaka mpya wa kiislam si lazima iwe tarehe 7 December...! Tatizo hapo ni nini, si katoa maoni yake, kwani kuna ulazima ya kufanyiwa kazi?Wrong again hebu soma hapa pole pole post ya mtani wangu Kadogoo
Soma maandishi hayo mekundu! Usijifanye hutaki kuelewa, asante sana
Eh! Mkuu masa nilikuwa sifahamu ili, kuwa Mahakama ya Kadhi, kazi yake itakuwa kukata watu mikono...!
Naona kule Kenya Ile Mahakama ya Kadhi, inakata sana watu mikono kama hawana akili nzuri... ooh! Nimekumbuka unajuwa kabla ya Uhuru Tangayika na Zanzibar kulikuwa na Mahakama ya Kadhi... ilikata sana watu mikono, ndio maana ikaondolewa...!
Hayo maandishi mekundu nimeyaelewa sana, na mwaka mpya wa kiislam si lazima iwe tarehe 7 December...! Tatizo hapo ni nini, si katoa maoni yake, kwani kuna ulazima ya kufanyiwa kazi?
this is non sense!it is like some one who is suffering from mental disorder !go to hell,you have nothing to do in this world!
Mahakama inayo simamiwa na Kadhi, iliwahi kuwepo hapa Tanzania (Tanganyika) na kule Unguja, je historia inatufahamisha kuwa kazi yao ilikuwa kukata watu mikono?Sitaki tufike mbali, najua mahakama ya kadhi ina mambo mazuri pia kiimani ya kiislam kama mirathi, haki za wanawake, Talaka na Ndoa etc....lakini je mumejiandaa vizuri, wale watakao misinterpret sharia huoni kutakuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu? Hii Kitu ipo kwenye katiba?
soma hapa
Somali Islamists Chop Off Thieves' Hands as Sharia Law Takes Hold
Somali Islamists Chop Off Thieves' Hands as Sharia Law Takes Hold
Wewe kwa nini unatamani kuendesha shughuli zako za kidini kwa kutegemea fedha za makafiri wala nguruwe?Jamani waislamu wa Tanzania hamjui vizuri maagizo ya koroani takatifu,mbona mnatia aibu.Jitegemeeni wenywewe,msijichanganye na makafiri maana mtashindwa kuuona ufalme wa mungu!!