Giro
JF-Expert Member
- Feb 9, 2009
- 359
- 22
Mwananchi Feb 13/09
THE HUGE,Uholanzi
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) iliyopo the Huge imekanusha kufikia uamuziwa kutoa kibali cha kukamatwa kwa Rais Al-bashir wa Sudan.
Msemaji wa ICC,Sonia Robla alikanusha taarifa hiyo kufuatia taarifa zilizotolewa na gazeti la New York Times jana,kwamba majaji katika mahakama hyo wamefikia maamuzi ya kutoa kibali cha kukamatwa kwa Rais huyo wa Sudan na kama lolote watatangaza rasmi.