Mahakama nchini Urusi yaipiga marufuku LGBT

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,714
Reaction score
20,821
Mahakama ya juu nchini Urusi imepiga marufuku shughuri zote za vugu vugu la la kimataifa la LGBT na kulitaja kuwa kundi linalo hamasisha uovu uliovuka mipaka.

Mapema mwezi huu wizara ya sheria ya Urusi ilifungua mashitaka dhidi ya harakati hiyo ya ufusika ulimwengini, ikisema shughuli za harakati ya LGBT ni kielelezo za uovu ulio vuka mipaka na hasa kutokana na harakati zake za kupanda mbegu na mifarakano ya kidini na kijamii ndani ya nchi hiyo.

Kutokana na marufuku hiyo yeyote atakaye bainika kusambaza na kutangaza harakati za kundi hilo kwa namna yeyote ile anaweza kukabiliwa na mifungo cha muda mrefu jela.

Kufuatia amri hiyo ya mahakama polisi wa kote nchi Urusi wanameanzisha msako mkali sana dhidi ya mashirika yote na watu binafisi wenye uhusiano na kundi hilo la LGBT, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zimeilaani sheria hiyo.

Chanzo BBC, Al Jazeera , CNN.
 
Papa anasemaje ?
20231111_000713.jpg
 
Basi MK254 akiiona hii atanuna kwa kuwa yeye anafumuliwa malinda ndio maana anampenda mzayuni na mmarekani,,
 
Back
Top Bottom