Mahakama muliositishiwa ajira june 2016 washeni simu

Huyu jamaa kama anatania sio ishu kurusha watu Roho! Kama anaota bora aamke aachane na Ndoto! Watu wanasubr hafu unatoa story isiyo hata na Tetesi!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawakuwa kwenye hayo makundi, waliajiriwa June 01.2016 na kusitishiwa June 27 ili kupisha zoezi la UHAKIKI wa watumishi, hata walikua hawajapata hata check no, hivyo ikawa zoez la utoaji check no. Za Ajira Mpya pia zikasimama mpaka pale zoezi la UHAKIKI liishe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna jamaa yangu kapgiwa na Afsa utumishi Jana jioni kaambiwa hivyo na akaombwa namba yangu ya simu na huyo Afsa utumishi Lakn hajanipgia bado, anasema ameambiwa kwenda kujaza mikataba mipya kabla 01.08

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa maada japo umesema usiulizwe majibu nmeyapata, na mm nmepgiwa simu 01.08 kuriport mzgon Rasmi, ambao hamjapgiwa simu waulizen ma Afsa utumishi wenu,

Note.unatakiwa kujaza mkataba kabla ya tarehe 01.08! Kazi kwenu, bt kuna watu hawatarudishwa kama unajua ulitumia vyeti vya kolomije au cha mtu, UHAKIKI haujaacha mtu salama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom