Mahakama kuu yatupilia mbali pingazi la matokeo ya ubunge jimbo la Kilwa Kusini

takeurabu

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
255
38
Mahakama kuu imefikia uamuzi huo baada ya kikao chake kilichofanyika huko Kilwa Kusini; hivyo kufanya Mbunge kupitia tiketi ya CUF kuendelea na wadhifa wake huo; huku aliyekuwa mgombea wa CCM aliyetoa pingamizi hilo akitoka kichwa chini.

Source: tbc1 taarifa ya habari saa 2 usiku leo;
 
Back
Top Bottom