Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,417
- 4,060
Hapo Jaji Feleshi amekuwa Jaji hasa na katenda haki sababu tu hukumu imekuwa kama mlivyotaka msikie imekuwa, ikiwa kinyume yanakuwa ni maelekezo kutoka muhimili ulojichimbia sana...pathetic!
Lawama za nini
AhahahaWalio ziandika hizi sheria ni watumishi wa wizara ya sheria. Walio zipigia kura za ndiyooo ni wabunge wa Ccm wasio jua sheria. Wanao ziona zina makosa ni majaji wa serikali hii hii inauo ongozwa na Ccm. Hadi raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Miye nasubiria hukumu ya Mahakama ya Rufaa ndiyo nishangilie
Halafu ndugu zetu waliofilisika kule mtaa wa Lumumba bila chembe ya aibu, wanasifia ETI huo ni uthubutu.Mkuu kwa jinsi kulivyo na ukiukwaji mkubwa wa sheria awamu hii, hata kama kukifanyika mabadiliko ya hiyo sheria, bado wanaotakiwa kukomolewa watakomolewa bila kujali hiyo sheria.
Ndio kwani sisi wananchi ndio tunaodhurika na tunazichukia sheria kandamizi tofauti na nyie.Hapo Jaji Feleshi amekuwa Jaji hasa na katenda haki sababu tu hukumu imekuwa kama mlivyotaka msikie imekuwa, ikiwa kinyume yanakuwa ni maelekezo kutoka muhimili ulojichimbia sana...pathetic!
Sent using Jamii Forums mobile app
DahTunapigwa tu, kama kwenye kesi zingine zote zenye manufaa kwa wanachi tulivyapigwa.