PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na matumizi mabaya ya nguvu za dola katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwemo visanduku vya kura vilivyochukuliwa bila kuhesabiwa na ulinzi mkali wa mawakala wa ACT Wazalendo wakati wa kuhesabu kura. Kesi iliyoanza kusikilizwa leo saa tatu asubuhi.