Mahakama kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,223
1,670
MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa
adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa
washtakiwa wawili raia wa Kenya katika kesi
ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi,
wakati wa tukio la uporaji wa fedha katika
benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani
Kilimanjaro. Mbali na hukumu hiyo
iliyosomwa na Jaji mfawidhi wa Mahakama
kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa,
nne ,Mshatakiwa wa tatu katika kesi
hiyo ,Karisti Kanje(Mtanzania) yeye
amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka
mitano(5) jela kwa kosa la kuhifadhi na
kutorosha watuhumiwa wa mauaji ya askari
polisi.


GP
 
Ua kabisa hao. Hivi wale wa kesi ya NMB ya mauaji ya ubungo nayo vipi. Hatujasikia lolote. Waliua yule accountant na kujeruhi.
 
Hii ni kwa sababu alimuua mwenzenu wa usalama, vipi kuhusu mafisadi wanaochota pesa kama mchanga BOT mnawaogopa?
 
Ua kabisa hao. Hivi wale wa kesi ya NMB ya mauaji ya ubungo nayo vipi. Hatujasikia lolote. Waliua yule accountant na kujeruhi.

Ndio hao hao jamaa mkuu...yale matukio yalifuatana baada ya tukio la ubungo mataa zilikatika kama wiki tatu ndo wakaenda tena kupiga NMB mwanga,ni kama walikuwa na watu wao ndani hiyo bank.
 
Damu inannena

Na NYIE MNAOFANYA ABORTION JUENI IPO SIKI DAMUITAONGEA NANAMTAKAA NANAMANI HUMONDANI
 
Back
Top Bottom