Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 961
- 1,978
Kumbe Saut bado ni chuo ki kuu???Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo
Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mstaafu Method Kilaini, wa Jimbo Katoliki la Bukoba
View attachment 3181494
Kabla ya mahafali Zoezi la utolewaji wa zawadi hizo lilifanyika katika kongamano la tatu la Wahitimu wa chuo hicho lililofanyika Desemba 20, 2024 katika ukumbi wa M15 uliopo chuoni hapo, siku moja kabla ya kufanyika kwa mahafali ya 27 ya SAUT.
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) Kampasi ya Mwanza waliofanya vizuri katika masomo yao na wanao taraji kuhitimu katika mahafali ya 27 ya chuo hicho wakipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli.
View attachment 3181489
Naibu Makamu mkuu wa chuo taaluma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT) DVCAA Prof. Hosea Rwegoshora amesema chuo hicho kinatambua mchango wa wahitimu na wake waliofanya vizuri katika masomo yao.
Ulisoma discipline gani hapo mkuu?SAUT chuo changu
Nimepata maarifa ya kutosha hapo
Kila La Heri Wasomi Wetu
Njooni Mlitumikie Taifa
Public RelationsUlisoma discipline gani hapo mkuu?
Mkuu unamanisha BA in public relations au unafanya kazi ya public relation.Public Relations
Nimesoma public Relations and MarketingMkuu unamanisha BA in public relations au unafanya kazi ya public relation.
Shukran MtaalamNimesoma public Relations and Marketing
Na Sasa nimejiajiri
OK, ila mkuu sijakuuliza kuhusu ajira yako hiyo ni siri yako mkuu, kama umejiajiri umeajiriwa au unatafuta ajira, mimi nataka kukupa hongera kwa ku-graduate na kupata degrer nzuri kutoka chuo ki kuu cha SAUT, Big upNimesoma public Relations and Marketing
Na Sasa nimejiajiri
Asante sanaOK, ila mkuu sijakuuliza kuhusu ajira yako hiyo ni siri yako mkuu, kama umejiajiri umeajiriwa au unatafuta ajira, mimi nataka kukupa hongera kwa ku-graduate na kupata degrer nzuri kutoka chuo ki kuu cha SAUT, Big up
Mbona unaandika mada za kuhusu nywele za sirini humu mtandaoni?? Hili pia mlifundishwa hapo SAUT??SAUT chuo changu
Nimepata maarifa ya kutosha hapo
Hizo ni tamaduni, usomi sio kusahau Mila na tamaduniMbona unaandika mada za kuhusu nywele za sirini humu mtandaoni?? Hili pia mlifundishwa hapo SAUT??
Hongera mkuu kwa kusoma vyuo vya makeup.Asante sana
Nime graduate tangu 2015
SAUT hapo Kuna maarifa na ndo tunatamba nayo Kwa mtaa, tunapata heshima tukiwazidi mbali wale waliosoma vyuo vya kata