mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,937
- 108,327
Bahati nzuri nemishi na hawa watu so nawajua in and out .....We huwezi kuelewa baki na mawazo yako hayoWatanzania tunapenda sana kujifariji.
Ova
Bahati nzuri nemishi na hawa watu so nawajua in and out .....We huwezi kuelewa baki na mawazo yako hayoWatanzania tunapenda sana kujifariji.
Wasomali hawana kodi kama huku dubai hawana ushuru wowote wa port.huwa wanakuja na meli zao chakavu wanapakia bidhaa kiasi wanachohitaji bila kodi aina yoyote(exempted)kisha wanaondoka!
Jamaa wana roho ngumu wale wanaweza kusafiri na MV LIEMBA hadi marekani.
Watanzania hawana Backup huko nje?.Wana backup ya ndugu zao walio ulaya na america na hao ndio wanahisa.
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Stararehe hata wakina Jack Ma wa alibaba hufanya starehe..Wajapani ni watu wanao fanya kazi.sana ila hata starehe wanafanya.Huwajui wasomali,,, wanapenda starehe balaa,, ni malaya kuanzia wanawake hadi wanaume na maskini ni wengi... Kwa ufupi ni binadamu wengine kama sisi..
Vyovyote vile jamaa.wanapamvana na si Tanzania tu..Wasomali ndi wameshikilia Uchumi wa Kenya..Hiyo.Nairobi ni kama yao.Hao jamaa baba yao alikuwa waziri wa fedha kwenye utawala wa Siad Barle ,baada ya ndo wakakimbilia tz na kufikia maeneo ya kigamboni jiran na Mh Ndungulile.Ni watu waliokuja na mtaji wa kutosha ukichanganya na spirit yao ya upambanaji kuwa hapo wanastahili......Na Kabla ya kujenga hiyo city mall walikuwa na garage ya magari ktk huohuo uwanja wa bakwata
Ndugu kwa nini unaniita Kiazi, mbona unakosa heshima na ethics za kuutumia mtandao. I hope the mode sees youHuwajui wasomali we kiazi
Nataka kuuliza tu hivi kwa nini mtu upo kazini ni zaidi ya miaka hata 20 bado ujaacha kazi ukaenda kujiajiri. Lakini unakua wa kwanza kuwashambulia vijana kua wakimaliza shule wanatakiwa kujiajiri ingali ambao wapo kwenye ajira na wana msingi mzr hata wa kupata mtaji hawajiajiri?Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Wanaweza wakawa wamekuja na mtaji au ni wawakilishi au ubia wa wengine wa nje wenye Mali yote yawezekana.Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Unajua kwa nini wamewekeza sana Kenya badala ya huku kwetu?Vyovyote vile jamaa.wanapamvana na si Tanzania tu..Wasomali ndi wameshikilia Uchumi wa Kenya..Hiyo.Nairobi ni kama yao.
Kwanza Tanzania hawajawekeza sana.kama.Kenya,
Hata watajirikao kijijini ni wakuja sio wazawa.Akili za wabongo zitaishia kusema wanapata fedha kutokana na ugaidi au pirates hatuendi mbali zaidi ya hapo na hapo ndipo wenzetu wanapotuacha, fursa zipo nyingi ila hatuzioni wao wanakuja kutoka kwao kwenye matatizo wanapofika huku wanapiga fedha tu.
Hahaha back-up wapi?Watanzania hawana Backup huko nje?.
Waarabu,wasomali,wahindi wana umoja wao wa kutajirishana dhamana ni uaminifu wako,wabongo hawaaminiki huwa kupiga tu wakale bata.Unacho sema ni kweli. Jamaa wana pambana sana na wana Umoja sana nazani Umoja wao ndo siraha inayo wasaidia.
Ndo matumaini unayo jipa? Hapo ukiwa kwenye AC unatekeleza majikumu ya anaye fanya uishi mjiniMafanikio yao huwezi kujua sasa wewe usione kila aliye na mafanikio ametumia nguvu ya kawaida wengine wameuza hadi watu ili kutengeneza pesa.