Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Wasomali kuna watu naona hawawaelewi vzuri wasomali kwa Money laundry wako vzuri sana
Hela chafu wanayoipata wanajua wapi pa kuipeleka na kuinvest au kuwapa wasomali wenzao walipo Sehemu fulani wanampa na anaifanyia kitu fulani.....
Syo mitanzania utakufa lijitu linakwiba mihela anakuwa na mabilion Hata kuwapa watu wengine awekeze hataki wasomali wao kwa Syo wachoyo ........
Hata yule msomali aliyekuwa anamikiki paradise alikimbiaaa somali kitambo akajaga Bongo na hela zake akawekeza na bado somali alikuwa n'a mtandao fulani hko
Mtanzania sahv unaweza ukawa n'a mipango mizuri ya kufanya na unahitaji cash lakini Nenda bank uone Nenda kakope uone bullshyt huko ukatako kutano nazoooo utakimbiaaa

Wasomali ni namba nyingine Syo kama Sisi Acha Sisi tuendeleee kubaniana tu

Ova
 
Akili za wabongo zitaishia kusema wanapata fedha kutokana na ugaidi au pirates hatuendi mbali zaidi ya hapo na hapo ndipo wenzetu wanapotuacha, fursa zipo nyingi ila hatuzioni wao wanakuja kutoka kwao kwenye matatizo wanapofika huku wanapiga fedha tu.
nimebaki nashangaa tuu kuanzia comment ya mwanzoni hadi hapa wanasema mambo ya "pirates" "ugaidi" "madawa"

Hata kama ni hivyo lkn mbona hata bongo hayo mambo yapo hatuoni uwekezaji wa hivyo au na wao wanaenda kuwekeza nchi jirani?
 
Vijana wa Tanzania acheni kuangalia huyu ana nini yule ana nini! tumieni ubongo wenu kuwa wajasiriamali! hawa lazima walianza chini mpaka wakafika hapa!

Tanzania ni nchi ilobarikiwa na rasilimali nyingi sana tumieni rasilimali zenu mtafanikiwa!
 
Wale woote ambao wako chini ya miaka 40, mjitahidi kufanya set-up ya kibiashara ili familia baadaye ziwe na family business na sio kupiga blah blah hapa..
Ukimsikiliza jamaa anaeleza kabisa walikuwa na business Mogadishu kabla ya vita na ilikuwa furniture business na material walitoa Tanzania, hii ilikuwa family business ya baba zao au babu zao kutokea hapo ndio set-up ilifanyika..

"Tanzania is blessed"
 
nimebaki nashangaa tuu kuanzia comment ya mwanzoni hadi hapa wanasema mambo ya "pirates" "ugaidi" "madawa"

Hata kama ni hivyo lkn mbona hata bongo hayo mambo yapo hatuoni uwekezaji wa hivyo au na wao wanaenda kuwekeza nchi jirani?
Mawazo ya Wabongo yanachosha sana!
halafu karibu wote mtazamo mmoja
 
So ulazima utoke na hela somalia

1985-2000 hawa unawaona Tz Kenya sana invest wrote waliingia ulaya marekani Australia

Hawakwenda cheza muzic Bali Ni kazi tu

Pia wewe usizani kila msomali mwizi

Matagiri wakubwa wasoma ni watu wenye hofu na Mungu


Bahati nzuri niliishi Aussie na Marekani, most Somalians NEVER work na hawapendi ku-assimilate...wanapenda sana maisha ya mlegezo kama vile kutunzwa na serikali huku wao wakishinda vijiweni. Wanaume wao wanapenda sana kuishi nyumba moja na hobby yao kubwa ni mabishano juu ya mapinduzi huko kwao. Hao unaosema walitoka Marekani na hizo nchi nyingine unafikiri it's that easy kuwa na mamilioni ya dollar kwa kazi ya kuajiliwa? Matajiri wa kisomali wengi ni majambazi/maharamia...wanatumia vijana waliosoma kuwawakilisha Kenya na Tanzania kibiashara.
 
Wasomali ni Bright sana...ndio maana hata nchi yao iliharibiwa makusudi na mataifa ya Magharibi sababu walishaproject future ya Somalia wakaona ni tishio.
Wasomali ni watu wenye discpline sana ya Maisha na ndio maana ni wasomali wachache sana tulio nao kwenye Jamii yetu wanaoishi Maisha ya kubabaisha.
Wasomali ni Risk takers wa ukweli sana na wao wako tayaribwafanye lolote mara wanapotaka kitu.
Wasomali wemgi hasa vijana hawana tabia kama za sisi vijana wa Kibantu! Wenzetu wanainuana sana na hakuna dharau kati yao ndio maana wanasonga mbele, sie tunabaguana hata kumiliki simu tofauti tuu au gari tofauti( Ujinga na upumbavu wa Kibantu na Kiswahili).
Wasomali si watu wa kuendekeza Starehe za Kipuuzi!
Msomali hata awe na hela vipi hana asili ya Show Off kama sie! Na msomali haridhiki na vitu vidogovidogo na kujisahau, Kijana wa Kibongo tena graduate anakopa hela anaenda kununua Gari na simu ya kisasa..garo anapaki CCM lakjni hata kusalimia jirani inakuwa ni shida!
Mwisho, wasomali hawana tabia za ubabaishaji!
La kuinuana hilo ni kwel kabisaa yaani basi tu wale jamaa nisiandike tu.
 
Bahati nzuri niliishi Aussie na Marekani, most Somalians NEVER work na hawapendi ku-assimilate...wanapenda sana maisha ya mlegezo kama vile kutunzwa na serikali huku wao wakishinda vijiweni. Wanaume wao wanapenda sana kuishi nyumba moja na hobby yao kubwa ni mabishano juu ya mapinduzi huko kwao. Hao unaosema walitoka Marekani na hizo nchi nyingine unafikiri it's that easy kuwa na mamilioni ya dollar kwa kazi ya kuajiliwa? Matajiri wa kisomali wengi ni majambazi/maharamia...wanatumia vijana waliosoma kuwawakilisha Kenya na Tanzania kibiashara


unaweza kuwaona wewe hao wapo vijiweni hujui kuwa ilee malipo unayosema wanaungana kumi mpaka kumi na tano kufu ngua biaasharaa

ww upo marekani unawaona hapoo je waliopo minosota angaliaa madukaa walionayo

hao majambazi unawajua ww kwanini usiriport kwa mamlaka inayohusikaa

ww unaa ndg huku tanzania jee ni wangapi umewasafirishaa kuwaletaaa marekanii si unataka uheshimiwe pekee yako katika ukoo wako kuwa upo marekani

choyo na husda zinawafanya waafricaa wawatenge wasomali kama sio waafrica wenzao

pia hatuitwi somalians call somalis
 
Wasomali kuna watu naona hawawaelewi vzuri wasomali kwa Money laundry wako vzuri sana
Hela chafu wanayoipata wanajua wapi pa kuipeleka na kuinvest au kuwapa wasomali wenzao walipo Sehemu fulani wanampa na anaifanyia kitu fulani.....
Syo mitanzania utakufa lijitu linakwiba mihela anakuwa na mabilion Hata kuwapa watu wengine awekeze hataki wasomali wao kwa Syo wachoyo ........
Hata yule msomali aliyekuwa anamikiki paradise alikimbiaaa somali kitambo akajaga Bongo na hela zake akawekeza na bado somali alikuwa n'a mtandao fulani hko
Mtanzania sahv unaweza ukawa n'a mipango mizuri ya kufanya na unahitaji cash lakini Nenda bank uone Nenda kakope uone bullshyt huko ukatako kutano nazoooo utakimbiaaa

Wasomali ni namba nyingine Syo kama Sisi Acha Sisi tuendeleee kubaniana tu

Ova
Umeongea vizuri sana mkuu.

Hawa jamaa kwanza ni waaminifu sana wao kwa wao, na huwa hawadhurumiani hata kidogo. Na mmoja wao akiishiwa wenzake wana mnyanyua haraka sana hata kwa kumpa mkopo bila riba. Na ndio maana Diaspora communities zao huwa zina nguvu sana popote pale duniani.

Njoo kwetu wabongo sasa, ndani ya familia tu kwanza unaweza ukawa na business idea ambayo wewe unaamini inaweza kubadirisha maisha ya familia nzima inahitaji mtaji kidogo tu, cha ajabu baba ako ndio anakuwa wa kwanza kukukatisha tamaa, utaskia "mwanangu hiyo biashara huwezi".

Unapanga kufanya kilimo na kijana mwenzako, wewe uko shamba una ng'oa visiki wakati yeye mmekubaliana aende mjini akanunue mbegu. Cha ajabu anapotelea huko huko alafu ile hela ya mbegu anaenda kunywa bia na hawara yake.

Unaenda benki kuomba mkopo hata wa laki tano uanzishe kiosk, wanakwambia tunatoa mkopo kwa mtu mwenye biashara ya miaka mitano.

Kiukweli tanzania kuna magumashi mengi sana linapokuja suala la ujasiliamari, acha tu tuendelee kuishi kwa kutegemea ajira za wahindi.
 
Uyo Mohamed Nur aligombea urais uchaguzi uliopita kule Somalia, wamiliki wa City Garden
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom