VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
kunji !
Yepi tena hayo?mambo yameanza...
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.
Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.
Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?
Kisha akachanganya na akili za kumbiwa na kina KovaWALINENA WENYE BUSARA""AKILI IKISHINDWA TUMIA NGUVU.hapo ndipo JK alipogundua AKILI YAKE IMECHOKA KAAMUA KUTUMIA FFU NA POLISI HATA SEHEMU YA KUTUMIA AKILI YA KITOTO TU.
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.
Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.
Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?
Yepi tena hayo?
umenisikitisha sana bandugu yaani eti wewe unajiita mwanamapinduzi garimy dah serereti amoroho... daffi akhe unaogopa kweli wewe homoo.Hahaha!umenikumbusha mbali.'leo kunakunji',nikisikia hivyo najichimbia mabibo hostel maana huko haifiki.hahaha
umenisikitisha sana bandugu yaani eti wewe unajiita mwanamapinduzi garimy dah serereti amoroho... daffi akhe unaogopa kweli wewe homoo.