mahaba ya nyumba ndogo....miaka 6....

mahaba ya nyumba ndogo....miaka 6....

Hapa sitoi mshango, na mimi pia nahusika. Yangu mbaya zaidi demu ni Binamu yangu. Mi nipo Mwanza yeye Dar Huwaga nafunga safari kumfuata kwa ajili ya kumgegeda. nimejaribu kuacha nimeshindwa. Natumia safari za kiofisi kwenda Dar kwa ajili ya kuonana nae. Lakini niko mbioni kuachana nae

Mhhhhh! Ama kweli, akija kwako anajida mtakatifu kwa mkeo kuwa yeye ni wifi yake, kumbe mke mwenzake, ama kweli Binamu nyama ya hamu, maana unafunga safari kwenda kuitafuna, Loh! Huwezi muacha labda uishiwe.
 
Hivi mmeumbwaje nyie wanaume? Kwann hamridhikagi?.....asa kinachomshnda kumuacha huyo kimada kitu gani! Msitake kusema ni sababu ya mapenz coz anayempenda kashamuweka ndan

nimempigia ajisajili humu aone maoni na ushauri....halafu cha ajabu... ni mzee wa kanisa...
 
Ushauri wangu..ili wasambaratike kabisa wasiweze kurudiana tena...AJIUE JAMAA
 
siku my wife wake akikuta
sms kwa mara ya tatu ajue hana ndoa
asione mke anasaundika akadhani ni ----!
hawezi kuachana nae kwani alizaliwa nae heee!


huyo boya akili zake zimehamia chini hakuna cha mfumo dume wala nini.hapo na huyo mkewe aanze kutoka na amuonyeshee kabisa kama anatoka naye ayapate maumivu ya kutendwa.watu wa dizaini hiyo huwa wanaumia sana vya kwao vikiliwa.
 
sikuhizi hata ukifumaniwa mapenzi yataendelea tu mfano yule mama aliyekuwa anagegedwa toilet akadumbukia humo bt sikunyingine tena akafumaniwa akiwa vichakani na mwanaume huyohuyo aliyekuwa anamgegeda chooni..
Duh! That is fornication and not adulterly
 
Kwa maelezo ni kana kwamba mfumo dume umekuwa suluhisho dhidi ya mkewe, kinamshinda nini kuutumia huo mfumo dume dhidi ya hawara kama kweli yeye mwanaume?? Mfumo jike wa hawara ndo uko in chuyo mwanamke wa nje hana cha kupoteza zaidi ya starehe alizozizoea ambazo akizitaka wapo wanaume wengine wanaoweza kumpa,yeye mwanaume ana mengi sana ya kupoteza kama mke,heshima,familia na mengineyo....atumie tu akili ya kiume....lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
huyo boya akili zake zimehamia chini hakuna cha mfumo dume wala nini.hapo na huyo mkewe aanze kutoka na amuonyeshee kabisa kama anatoka naye ayapate maumivu ya kutendwa.watu wa dizaini hiyo huwa wanaumia sana vya kwao vikiliwa.
wanakaribiaga kua vichaa
siku mke akitoka huyo mwanaume
atajifanya anampenda mke wake,skilizia mziki
wake sasa!
 
Hivi siku ikatangazwa kuwa it is one to one week... Kila familia itakuwa na one to several broken hearts...
 
akikuta mkewe ana mwanaume atulize kengele zake tena akae kimya
 
Mla na vyake uliwa pia. Mke anajua A to Z, ila anajifanya kama mjinga.
Nafkiri mke kampeleleza na kajua yote, na anamjua huyo mwanamke pia.
Mke wake na ana liwa nje ya ndoa pia. Ngoma droo.
Munafikiri wanawake wajinga eh?
 
Aisee hiyo kali. Haya hebu aimagine na mkewe awe na mtu mwingine atajisikiaje. Dhambi ni dhambi na dhambi ni tamu asikwambie mtu. Sasa aamue kuendelea kumuudhi Mungu na mkewe pamoja na watoto au awaonee huruma aache hiyo tabia mbaya na chafu. Naona kaunga amekosa hata cha kukwambia manake haiingii akilini eti kampenda sana . So sad juu ya huyo rafiki ako, umeambiwa ikimbie zinaaa yeye anadeka. Haya mwambie njia nzuri ya kumuacha amuambie mkewe jinsi anavyoipenda hiyo nyumba ndogo na amsaidie ili aweze kuiacha, si ameamua kudeka.
 
siku my wife wake akikuta
sms kwa mara ya tatu ajue hana ndoa
asione mke anasaundika akadhani ni ----!
hawezi kuachana nae kwani alizaliwa nae heee!

wala hatomuacha. Hapo ujue mkewe nae anaselebreiti mwaka wa tatu na small house yake. No one is resistible aisee. What goes around normally comes around. Not my words, nature rules heheheh
 
wala hatomuacha. Hapo ujue mkewe nae anaselebreiti mwaka wa tatu na small house yake. No one is resistible aisee. What goes around normally comes around. Not my words, nature rules heheheh

inawezekana aisee
kukuta sms thn anakubali sound
huenda na yeye ana mtu wake chobingo!hahaaa!

 
jamani!!!!! naombea fumanizi litokee live, mwanamke mwizi apigwe hadi azimie, na mwanaume apigwe hadi aone kizunguzungu ila mauti yasitokee, baada ya hapo wataenda kutubu na ndio mwisho wa ufuska
 
Back
Top Bottom