Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wacha uchoyo huko
Full kudeka, wazee wazima mpaka pressure zinapanda kwa sababu ya hivi vitoto
Yaani bora nionekane sina upendo, tanimi kuumizana....
Hahaha weeee ole wako afu mi madam ujue siyo Ticha !!! Nakuangalia tu
hahahaha hii chumvi mmmh
We miss neddy
Utamuua mtoto wa mwenzio..khaa!!
Wachaa na miye nataka lifti
Teh teh hamna chumvi kabisa hapo