ANDREW JOSEPH
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 421
- 405
Hilo nalo nenoSasa cha kufanya ni kukausha hata kama yeye akikutafuta hamna kitu apo
Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
wewe mdada umeongea poa sanaKuna mawili either anae mtu kweli sema amependa unamvomhangaikia au hana anakupima akuone pumzi yako
Akili kichwan mwako
shukran
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Aisee!Anakupenda huyo.....ckia, unatakiwa usimwambie tena kama wamtaka..mwache na yeye aumie roho yakee yaan uwe busy akija karibu nawe mpotezeee muumize rohoo.. yaan cc wanawake tukipenda mahali halafi tukachuniwa tunaumia kweli tunajitahidi kufanya mitego yoote ili tumpate tunayemtaka.. sasa kaza buti iko siku ayakuomba mechi. Na akikuombaa hata kama hauna nyege wewe mkamue tuu huyoo tena mpe show heavy adate nawe.
Aisee nikikupata kama wewe safi kabisaAnakupenda huyo.....ckia, unatakiwa usimwambie tena kama wamtaka..mwache na yeye aumie roho yakee yaan uwe busy akija karibu nawe mpotezeee muumize rohoo.. yaan cc wanawake tukipenda mahali halafi tukachuniwa tunaumia kweli tunajitahidi kufanya mitego yoote ili tumpate tunayemtaka.. sasa kaza buti iko siku ayakuomba mechi. Na akikuombaa hata kama hauna nyege wewe mkamue tuu huyoo tena mpe show heavy adate nawe.