Hastahili maana alionesha mapenzi ya kweli kwa jamaa,lakin jamaa hakuyaona hayo.
Ina umiza sana kumthamini mtu ambaye hana shukrani.
Kama vip huyo binti arudi kwao u.k
Lakini kama ndo hivyo kweli mjamaica ana haki yake, yaani jamaa alikuwa analala kwenye taxi halafu leo hii kafanya ujinga tusiseme sana labda shetani atakuwa kampitia anyway akimtoka atajuta na atakuwa ombaomba.