mahaba niue!!!Babu kamzingua Bibi kisa...

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
habari zenu wana jf,
Ni j/pili nyingine yenye baraka zake na siku takatifu ya ibada.Nimepokea simu leo alfajir kutoka kwa bibi yangu mzaa mama yakusikitisha kidogo.Siku ya tar 23may nakumbuka babu alikuja kunitembelea mjuuku wake na swahiba wake mkubwa niliyerithi jina lake hadi kupenda sana kuniita wajina,tulipiga nae story sana tofautitofauti hadi tukafikia kwenye story zetu zile zilizoteka ulimwengu na maanisha za mapenzi,babu akaanza unajua mjukuu wangu kulenyumbani kuna mpangaji mgeni nimempangisha ile nyumba nyingine nimzuri sana wajina na anafaa sana yaani anau...nikamkatisha harakaka kwani kwa akili zangu finyu nilijua anataka kuniunganishia nikamwambia babu mi c unajua na mchumba wangu na unamjua kabisa,akasema hapana mjukuu wangu sio hivyo kiukweli roho ilinidunda!!paah nikamwambia endelea,akabaki tu kumsifia sana mara hana mume yupo mwenyewe anafanya kazi sehem flan familia yake iko hivi mara vile yaani kanipa full story ya yule binti ila hakuniambia nia yake ni nn.akaaga akaondoka zake si mnajua sio kila mgeni anasindikizwa.wiki tatu zimepita bibi hakua nyumbani alikua mkoani anafanya yake jana karudi na leo alfajiri kanipigia simu anaongea kwa uchungu sana kwa kweli kwani nyumbani kakuta mazingira yamebadilika anasema amekuta sofa zimepangwa tofauti na alivyopanga,maumau mazur,shit bed tofauti,harufu ya marashi makali,air fresh jikoni ndo usiseme chakula kipo kwenye poti na maua mekundu yamewekwa pembeni anasema kufungua kabati ndo kachoka kabisa kakuta nguo za kike ambazo c zake,alivyomuuliza babu akajibiwa kwani ww unatakaje labda?mbona ww umeenda huko kwa mahawara zako nimenyamaza tu kama mjinga na mimi ndo nimeamua hivi kiukweli nimeambowa ulikuwa ugomvi mkubwa sana.kumbe yule binti alidanganywa akapewa kopy ya hati ya nyumba akaambiwa ukinikubalia ile nyumba yako binti hakuuliza swali lingine baada ya kuona hili c ndo dhali la mentali akatoa papuchi babu akawa anajivinjari sana watoto wa kitanga mama mnavyowajua anakupa penzi hadi unahisi upo peponi kumbe ni raha duniani.SASA wana jf nimeitwa kwenye kikao kinachofanyika saa 10 jioni maeneo ya Mbagala Mwandege na mm naishi mbez najiandaa kuondoka.nao.beni pointi za kwenda kusuluhisha bila kupendelea.
 
Mahaba Niue?watu washakula mzigo kiulaiiiniii fresh yaaaan
 
hahahahahahahaha...acha nicheke kwanza!!.hlf huyo babu yako ana umri gani?!.naomba jibu,

pia vaislay njoo uone mambo huku mahaba nibinue binu kama boti la wakongo!
 
hlf huyo babu ana akili sana yaani alipata wazo la kutoa kopi ya nyumba na bidada akaingia kingi kiulaini......doh!!.

Chezea kumiliki nyumba dar nn ww?
Chumba chenyewe kinampa binie mawazo kukilipa ndo aoneshwe hati feki ya nyumba?
Lazima achanganyikiwe no offence but siajab hata alimgawia babu ndogo aka mtandao
 
hahahahahahahaha...acha nicheke kwanza!!.hlf huyo babu yako ana umri gani?!.naomba jibu,

pia vaislay njoo uone mambo huku mahaba nibinue binu kama boti la wakongo!

kama gazeti aaah kwa ufupi inasemaje?
 
hahahahahahahaha...acha nicheke kwanza!!.hlf huyo babu yako ana umri gani?!.naomba jibu,

pia vaislay njoo uone mambo huku mahaba nibinue binu kama boti la wakongo!
babu umri umeenda kidogo anakimbilia 65
 
Kwanza itabidi ueleze mkasa uliotokea halafu umuhimize bibi yako amsamehe babu yako




Mwambie bibi yako aache safari za mikoani baridi hii (natania tu)
 
Hadi wababu....duuh. Napata kigugumizi kuamini kwamba babu mwenye mjukuu aliyefikia umri wa kuzaa bado anamudu ile shughuli
 
Kwanza itabidi ueleze mkasa uliotokea halafu umuhimize bibi yako amsamehe babu yako




Mwambie bibi yako aache safari za mikoani baridi hii (natania tu)

sawa mkuu tafikisha huo ujumbe
 
ndo yameshamuua binti wa watu hapana chezea wazee waliokata rufaa ya uzee waitwe bby

65 yrs?anamchezeshaje baby ligwaride?
Na baby nae anagugumia tu like yes baby omy god usichomoeee fasta fasta fastaaaaaa am coming am coming am comiiiiiiina(manina ulikua wp mwanza au tandale)
Kweli maisha ya bure yanapendwa wakina # lara1 wanazidi kuongezeka tu duuu
 
wazee wengine watundu sana hebu vuta picha ujana wake ilikuje
 
Apo amna cha ziada babu keshapiga...iyo copy uyo dada airudishe...maisha yaendelee na bibi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…