mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
Ngoja Madomo Zege(Inspector) waje.Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
Sema na nyie sikuiz unakuta lidada unalitongoza afu macho limekutungulia mpka jamaa una loose confidence
Siku hizi hawaumi kucha Wala kuchorachora chiniSema na nyie sikuiz unakuta lidada unalitongoza afu macho limekutungulia mpka jamaa una loose confidence
We huwez jiongeza kuwa nahitaji mbunye?Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
sio paka udanganywe na nyie mjiongeze kwan hampendi mikunoWadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.
Siku hizi hatutaki kuwadanganya Sana kwa maneno matamu maana ndo huwa mnafikiri Tumedataa kweli mnaanza vizingaaa...Hivyo hivyoo hakuna hata kutongoza ni kuitwa getoo tu ukijaa bhasii juaa umekubalii kuvuaa penzi limeanzaa
Mwanaume ana haja gani ya kutongoza wakati ninyi wanawake mlio wengi mnajitongozesha wenyewe?? Mavazi yenu, tembea yenu, ongea yenu, post zenu kwenye mitandao ya kijamii, vyote hivyo mnafanya kujitongozesha kwa wanaume. Mmewarahisishia kazi ya kutongoza ndiyo maana siku hizi wanaume hawatongozi tena bali wanatoa tu pesa na wewe unafuata, kinachofuata ni kugegedwa tu.Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi wakaka xm zinawasaidia sana wengi wenu kutongoza hamjui. Napendekeza elimu ya mahusiano ingekua inafundishwa mashuleni vijana hamjui kutongoza.