real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Watuhumiwa 20 wanashiliwa na kituo cha polisi cha Usa River mkoani Arusha kwa kujihusiha na kilimo cha bangi
Maafisa wa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na madawaya kulevya mkoani Arusha wamekamata magunia 168 ya bangi kijiji cha Losinoni wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha
Kamishna wa intellijensia ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Fredy Kibuta amewaonya wauzaji wa dawa za kulevya kusoma alama za nyakati na kuwafananisha na wauaji
Tume ya kupambana na madawa ya kulevya imesema operesheni hiyo ni endelevu na kuwataka wananchi wa eneo hilo kujikita kwenye kilimo mbadala cha mazao ya mahindi, pareto na alizeti kwani yanastawi maeneo hayo