Magugu maji yazua balaa Busisi

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Nimeona magugu maji yameziba njia ya busisi je ni hali ya hewa au kuna kitu kinasababisha iwe hivyo.

Pili hamna wafugaji hapo maana wangeyavuna hayo magugu maji kwa chakula cha mifugo, nasikia huko Kenya Mombasa wanayatumia kutengeneza karatasi na fuel.

Je hapa nchini? Naiona hii kama fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni matokeo ya magugu maji GMO si yale ya asili aina hii ya magugu maji ambayo ukuaji wake ni haraka na kasi ukilinganisha na ya kawaida.

Sio uchawi ni biotechnology ni kama ukuaji wa kuku kizungu ni michongo ya akili kubwa kupiga pesa kwa kutengeneza tatizo.

Magugu maji hutengeneza karatasi maalum inayotumiwa na celebs na VIPs kuandika maandishi maalum kama will na souvenirs. Kuna tetesi kuwa kampuni moja ya India iliomba kuvuna buree ikanyimwa Ruhusa a- wacha yatutese
 
Hayo ni matokeo ya magugu maji GMO si yale ya asili aina hii ya magugu maji ambayo ukuaji wake ni haraka na kasi ukilinganisha na ya kawaida.

Sio uchawi ni biotechnology ni kama ukuaji wa kuku kizungu ni michongo ya akili kubwa kupiga pesa kwa kutengeneza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna biotechs hapo, magugumaji yamestawi hapo kwakuwa ziwa limekuwa na high nitrogen concentration. Hii yaweza kuwa imesababishwa na ongezeko la Kilimo bora hasa kule Uganda, ongezeko la aquaculture hasa kwenye cages ziwani na tabia ya kudumu ya kunya ziwani
 
Gama nimekusoma ila pia wenyeji wanajua na wanasema tofauti ya sasa na awali biotechnology itahusika sana kuondoa tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni very useful crop, ni valuable kwenye international market, lets put it into use
Mkuu Gama, niombe kama una ABC..s za nutritional potentials za hilo gugu in animal feeding!
 
Hata SUA wamelifanyia tafiti, namjua mtafiti mmoja aliyejaribu kutengeneza SILAGE. Value kuu iko kwenye kutengeneza karatasi ambayo inaaminika kudumu kwa miaka mingi ndiyo maana huuzwa fedha nyingi na hutumiwa na watu maalum kwa shughuli maalum
 
Back
Top Bottom