habari za asbui majiran zangu, naomba tusaidiane katika hili kua Mr J.P Magufuri sio raisi wa nchi hii, nimesema haya baada ya kushuhudia sherehe za gharama na zisizo za gharama, mayowe, nderemo, vifijo, na selebrates mbalimbali za kumtukuza huyu bwana hasa uku kwetu Geita Chato Bukoba sijui Mwanza na Shinyanga.
"nimefurahi sana tena sanaaana kanda ya ziwa tumetoa raisi kwa awamu ya pili sasa" sauti hii ilinukuliwa live na mwanazuo mmoja SAUT Bukoba, na huko Geita mkulima alisikika "nawise wasukuma twafunyaga ntemi wa tanzania" kama utaweza kutafasiri tusaidie. kwa kule chato biharamulo ngala nyanghware sengerema ndio bhaaaaaaaaasi kabisa.
ni hayo tu majirani tusaidizane kwa walio kanda ya ziwa wengi wao wiki hii wanajua wanaenda kumlaki raisi JPMagufuri, raisi mpya. katika mbio za ssm kumtambulisha mgombea uraisi huyo katika kanda hio-kanda yake.
Mr John Pombe Magufuri.