Magufuri kujaribu kutuliza hasira za wanaIGUNGA LEO.

Najua unataka habari yako isisimue lakini kuwa na adabu hata kwako mwenyewe. Lini huyu mama kasema maneno hayo au ndiyo "fabrications" zinaletwa humu ili kukoleza ushabiki wa kivyama? Wanawake wana hadhi kubwa sana sasa hivi katika jamii ya watanzania ni lazima kama sisi tunataka kujenga jamii iliyo sawa na huru ni lazima tuwaheshimu wanawake hata kama wamekosea.
Alisema mwenyewe walitaka kumbaka lakini kwenye mashitaka hakulitaja hilo sijui kama aliona aibu, lakini hata hivyo kwani yeye angekuwa mwananke wa kwanza kubakwa.
 
Mbona mbunge wao Kafumu hayupo kwenye huo msafara? Yeye hataki kutoa shukrani kwa kuchaguliwa!
 
Bado anawaza namna ya kurudi Igunga baada kuwaona hawana maana akaja kula bata Wilaya ya Kinondoni na kuwaacha hoi .
 
Umeanza vizuri sana kutoa habari lakini mwisho umevurunda.

Ulitakiwa wewe utoe habari kama ilivyo kisha comment zako zije baada ya habari hiyo.

nakupa pole
Ndevu kama brashi bovu, wewe umetoa wapi madaraka ya kelekeza watu namna ya kuandika thread zao? wacha kujipendekeza kenge wewe.
 
Wewe Barubaru ulitujulisha kuwa ni mtu wa Oman na upo huko, sasa ya huku yanakuwashia nini? Kila thread lazima uchefue tu.

Umeanza vizuri sana kutoa habari lakini mwisho umevurunda.

Ulitakiwa wewe utoe habari kama ilivyo kisha comment zako zije baada ya habari hiyo.

nakupa pole
 
Alisema mwenyewe walitaka kumbaka lakini kwenye mashitaka hakulitaja hilo sijui kama aliona aibu, lakini hata hivyo kwani yeye angekuwa mwananke wa kwanza kubakwa.

Mwenye bandiko lake kasema "alibakwa" wewe unasema "alitaka" kubakwa. Halafu kwa nini unataka tuone kuwa kubakwa kwa wanawake ni jambo la kawaida na la fahari? Kuwa mstaarabu ndugu yetu. Hivi kama Mkeo, Dada yako au mama yako Mzazi akibakwa alafu mtu mwingine akwambie kwamba "yeye si kwanza kubakwa" utajisikiaje?
 
DC FATMA KIMARIO KUNA ALIPOFANYA KAZI ZAKE U-DC. Hakuwa akielewana kiutendaji na wenzake. Haikujalisha CCM wala chama gani! Na hawakushangaa masahibu yaliyompata huko Igunga! Kiufupi ni mama mkorofi sana..
 
Habari za asubuhi 'Mzee'? Vip Nepi keshakupa pesa ya supu ama umekula chapati kavu leo?
 
waliwezaje kumchagua mtu wasiyetaka kumsikiliza!. Wananchi wa Igunga bado wana Imani na ccm.

Hivi na yule mbunge mteule wamesema atakuwepo katika kumtangaza huyo mkandarasi? Hongera kwa utaratibu mpya wa waziri kusafiri hadi eneo la kila ujenzi mpya tarajiwa kwa lengo la kumtangaza mkandarasi tu!!!!????? Tanzania ni kubwa na miradi ni mingi, sijui itakuwaje?
 
Nasubiri hotuba ya DC Fatuma Joseph Kimario

Kwa maana hiyo huo mkutano ni wa Magufuli na DC Kimario peke yao?
Je, Dr. Kafumu aliyeshinda kwa kura za wizi hatakuwepo? Sitashangaa kama hatakuwepo maana yeye ni mtu wa Dsm na siyo Igunga.Wana Igunga walitaka kuchagua mtu ambaye siku zote wanakaa naye Igunga Mwl.J.Kashindye lakini akachakachuliwa! Leo hii wangelikuwa naye hapo wakipanga mikakati ya maendeleo.
 
Mbona mbunge wao Kafumu hayupo kwenye huo msafara? Yeye hataki kutoa shukrani kwa kuchaguliwa!
Haitaji kutoa shukrani kwani alishinda kwa pesa hivyo shukran zake atazielwkeza kwa aliye muwezesha, kama alijiwezesha basi na ajishukuru wmemyewe!
 
Wakuu mlioko igunga mmekubali kuburuzwa na kijakazi wa nape hadi mmesahau alichozungumza magufuli na DC Fatma Joseph Kimario!
 
Najua unataka habari yako isisimue lakini kuwa na adabu hata kwako mwenyewe. Lini huyu mama kasema maneno hayo au ndiyo "fabrications" zinaletwa humu ili kukoleza ushabiki wa kivyama? Wanawake wana hadhi kubwa sana sasa hivi katika jamii ya watanzania ni lazima kama sisi tunataka kujenga jamii iliyo sawa na huru ni lazima tuwaheshimu wanawake hata kama wamekosea.

Nimecheka sana hapo kwenye red. Ndo maana nchi iko hivi tulivo leo kama mwendo wenyewe ni wa kulindana hivo
 
Back
Top Bottom