Magufuri kujaribu kutuliza hasira za wanaIGUNGA LEO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuri kujaribu kutuliza hasira za wanaIGUNGA LEO.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mamaWILLE, Oct 23, 2011.

 1. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.
   
 2. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  dalili za mfa maji ni kutapa tapa
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,923
  Trophy Points: 280
  Nasubiri hotuba ya DC Fatuma Joseph Kimario
   
 4. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  walisema mkutano unaanza kuanzia saa 4 kamili mpaka sasa watu ni wachache sana wengi mpaka sasa ni watoto. Sasa wanatangaza makirikiri nao watakuwep6
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri kamanda Magufuli. Angalieni wahuni wa Chadema wasijewakavuruga mkutano.
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Makirikiri ndio nini tena?
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Watu hawana mda mchafu wa kuwasikiliza CCM.
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  waliwezaje kumchagua mtu wasiyetaka kumsikiliza!. Wananchi wa Igunga bado wana Imani na ccm.
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hongera Dr. Kafumu, umeanza kutekeleza ahadi zako. Nakutakia kila la kheri.
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Siku zote huwa unakurupuka bila kuelewa kinachoongelewa mkutano ni wa Magufuri sio wa Kafumu.
   
 11. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eh! Amang'ana marito Mura!
   
 12. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  magufuri kaingi sasa na msafara wa magari 29 ya kiserikari.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wizi mtupu!
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Umeanza vizuri sana kutoa habari lakini mwisho umevurunda.

  Ulitakiwa wewe utoe habari kama ilivyo kisha comment zako zije baada ya habari hiyo.

  nakupa pole
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hapo red bolded nimeipenda sana,alibakwaje sasa wakati kitu hakijaingia!!!!hahahahahaha!
   
 16. p

  plawala JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ilikuwa ahadi ya maghufuli na siyo ya Kafumu
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  najua mkutano ni wa Magufuli. Anatekeleza ahadi za ccm kupitia kwa Kafumu.
   
 18. s

  sanjo JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Magari 29!! Mabadiliko yanakuja kesho.
   
 19. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Najua unataka habari yako isisimue lakini kuwa na adabu hata kwako mwenyewe. Lini huyu mama kasema maneno hayo au ndiyo "fabrications" zinaletwa humu ili kukoleza ushabiki wa kivyama? Wanawake wana hadhi kubwa sana sasa hivi katika jamii ya watanzania ni lazima kama sisi tunataka kujenga jamii iliyo sawa na huru ni lazima tuwaheshimu wanawake hata kama wamekosea.
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Slowly naanza kuamini kwamba huenda akili zako hazina akili bali ni akili tu bila hatag utashi .
   
Loading...