Magufuri kujaribu kutuliza hasira za wanaIGUNGA LEO.

Waziri wa ujenzi mh magufuri leo saa tano ameanda mkutano akishirikiana na mkuu wa wilaya ya igunga FATUMA KIMARIO utakao fanyika hapa viwanja vya Sokoine . Ajenda ni kusu kumtambusha mkandarasi hapa igunga ili ajenge daraja la mbutu ambalo bwana Rostam Aziz alishìndwa kulijenga kwa miaka 18 aliyotawala. Mkutano umekuwa wa ghafla sana. Fatuma Kimario nae anataka ajisaishe kwa yale yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo akidai alibakwa japo haikuingia.wananchi wa igunga bado wana hasira za kuchakachuliwa wa mgombea wao wa chadema mwalim Kashìndye. Yatakayo tokea nitawajuza.

Hakuna haja ya kuitisha mkutano na kumtambulisha mkandarasi, hizo ni siasa, wao waingie kazini wajenge daraja, kwanza daraja linajengwa kwa kodi yao na wala sio msaada mpaka muwaondoe. watu kwenye kazi zao eti waende kwenye mkutano.
 
Back
Top Bottom