Galang
Member
- Nov 5, 2010
- 40
- 20
Mgombea Urais wa CCM ndugu JP Magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa Chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.
Kwani masheikh wote ni BAKWATA?Bakwata na ccm uji na mgonjwa
mgombea urais wa ccm ndugu jp magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.
mimi mgeni nchi hii hebu tuambiane huyo magufuli ndo nani.?
mimi mgeni nchi hii hebu tuambiane huyo magufuli ndo nani.?
Mashehe UBWABWA!!! Teh!! Teh!!Mgombea Urais wa CCM ndugu JP Magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa Chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.
Mgombea Urais wa CCM ndugu JP Magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa Chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.
yule jamaa aliyeuza nyumba za serikali na kujengaa baa
yule jamaa aliyeuza nyumba za serikali na kujengaa baa
halafu nimekumbuka.hawa si waliendaga na dodoma kumshawishi lowasa agombee urais? Inamaana hawajasikia kuwa atagombea sasa?