Magufuri apokelewa na mashehe Chalinze

Magufuri apokelewa na mashehe Chalinze

Mgombea Urais wa CCM ndugu JP Magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa Chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.

Kila avaaae kanzu ni shekh kwani chalinze hawana asili ya mashekhe hao ni waganga itakuwa maana ndio kazi ya jk kuwaamini waganga kwanza ktk utawala wake mpk chama kakifikisha pale
 
Unajua haohao mashehe mtashangaa watakavyompokea Lowasa tena hivyo hivyo sasa akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom